Jamani tunaomba huku bonde la Rukwa/bondeni Sumbawanga kuna katizo la umeme wa REA ambalo nahisi halijawa hitokea katika inchi hii,mpaka inakera yaani.
Tukiuliza tunaambiwa matatizo ya kiufundi sasa matatizo gani hayaishi jamani.
LAELA ambao ndo makao yetu makuu wapo kimya tu .
Siasa+Dini=1.tena siasa ipo ndani ya dini,ukijifanya weye unatenganisha vitu hivi tuseme uchague Dini kuna siku huyu mwanasiasa atayoa amri labda kwa watu wa dini kubadili mida ya kwenda kusali iwe ni kuingia jioni tu asubuhi mfanye kazi ww mtu wa dini utafanyeje?
Mamba hana jeuri kwa chui,jaguar,chitter.hata kama yupo kwenye maji anachomolewa vizuri tu.
Uzuri wa hawa wanyama jamii ya paka ni,timing,akili,wepesi.mamba hana ujanja wala maarifa ya kujinasua anapobanwa zaidi ya kutumia miguvu tu.
Mkuu,Lugalo hospital,leadership and management haipo tena hapo yaani nifujo tupu.Yaani hapo kama unabima ya Afya bora usiende mana wale wanajeshi wa pale mapokezi wanakera.
Kwanza wapo slow sana,pili mtu mmoja anafanya kaxi zaidi ya tatu pale,kuhakiki kadi ya bima kqenye computer,kujaza zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.