Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

Mie nimechaguliwa Dental Laboratory Technology hapo muhimbili
Dental Laboratory Technology,DDLT Wewe ni wa wizara sema unasomea kwenye majengo ya muhimbili, hauna tofauti na wanaosoma nursing midwifery ambao wako muhimbili, hata madarasa yenu yako tofauti, elimu yenu yote inasimamiwa na wizara kuanzia mitihani mpaka Diploma yako! hivyo kaza moyo! kozi hizo mbili midwifery na DDLT haziko MUHAS!
 
Pamoja sana
 
Pale kuna library inaitwa twentyfour yaani ni masaa 24 iko open maninja wanachimba..ukienda itumie vizuri itakusaidia sana..
 
Join this Group for selected First Year Students at St. Joseph College of Health Science Boko Campus

Please Only Selected Students Should Join

This Group Is Administered By Ministry Of Education from Students Government.

Contacts 0769278878 for Any inquery

1st Year Medicine Boko
 
Back
Top Bottom