Recent content by Bandido-2

  1. Bandido-2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Kumbe familia.
  2. Bandido-2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Hizo submiter mbona zipo.. hata mimi naitumia, Unanunua umeme mita kubwa then unauvuta unakuja kwenye submita yako, kama ni unit 10 zikiisha unakata wako tu, wengine wanaendelea na umeme.
  3. Bandido-2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kila la kheri mtani.. ukishinda nitafurahi, ukipigwa pia nitafurahi.. furaha kotekote
  4. Bandido-2

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza external hard disc 1TB

    mmegoma kununua? [emoji846] Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Bandido-2

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza external hard disc 1TB

    ongeza ongeza bosi... 60k labda nikupe 500 GB Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Bandido-2

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza external hard disc 1TB

    Aina - TOSHIBA storage - 1,000 GB location - Mwanza Price - 100K contacts - PM au 0628301473 NB- imejaa movie na series kali kibao Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Bandido-2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    yaani tangu kipindi anamtongoza wife... wewe ukamuonya.. OYA ACHANA NA MKE WANGU.. lakini jamaa kakaza hadi kapita na mkeo?? hii ni dharau iliyokithiri kwa wote wawili... mkeo na huyo mwamba Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Bandido-2

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri Mke wangu kaenda kupima UKIMWI vipimo vimeonesha majibu tofauti

    Duuh! Ulikua unapiga mzigo bila kinga na huku ukijua mkeo yupo positive? Mimi hapana aisee... Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Bandido-2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa web... lakini app inafanya kazi vizur tu
  10. Bandido-2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mix Jux afunguka kuhusu penzi jipya la Vanessa "nampenda Rotimi nafuatilia tamthilia yake"

    Mbona link inaongelea habari za prof Assad kuanza kilimo cha bamia??
  11. Bandido-2

    JamiiForums Tanzania Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    Daah!! Umenikumbusha mbali sana. Miaka fulani ya 2013 nipo chuo. Niliparamia manzi fuani pekupeku halafu baadaye ndiyo nakuja kugundua kuwa yule manzi ni dada poa (japo alikua mwanachuo). Hiyo miezi mitatu ya kusubiri nipime nilikua nina kila dalili za kuungua na nilishuka uzito na kukonda...
  12. Bandido-2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Kaka Kaniweza

    Mliosoma... story ndo imeishia hapo jamani?
  13. Bandido-2

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Msumbiji kwenye machimbo kwa njia za panya, naomba ushauri!

    Bem, Em primeiro lugar... tu falas português?
  14. Bandido-2

    JamiiForums Tanzania Leo nimefanikiwa kufika Tarime Mara

    Wewe Ghati... utarara hapahapa Taarime??? Nina Shida na Chaja pini ndogo kama unayo ☹️
  15. Bandido-2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

    Una uhakika umemjibu yule mdada aliyekwambia upime ukimwi ukakataa?? Maana naona kama vile story mbili tofauti.. sisi tuliambiwa hukufunua mtu sketi, na ulikimbiwa.. hafu hapa unasema wewe ndo ulikimbia mtu..
Back
Top Bottom