Nataka kwenda Msumbiji kwenye machimbo kwa njia za panya, naomba ushauri!

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Nategemea kuondoka mwezi ujao! naomba mwenye uzoefu na nchi hiyo anipe ABC kabla sijaondoka! karibuni!
 
Si upite njia za panya
Kasema pia anaenda kwa njia za panya.
Mimi nilienda kipindi fulani, kwa njia za panya hivo hivo, mpakani pale kuna njia ya kuingia, ni njia maarufu kwa mahamiaji au watu wanaoingia huko bila makaratasi ya halali.
miaka hiyo nilikuwa na hela ya kunitoa hapa bongo mpaka msumbiji nchini, lakini siyo kwenye machimbo, nilikula msoto bala mpaka kukaa sawa, isitoshe nilienda mimi kama mimi, bila mwenyeji wa kunipokea wala nini.
Msoto ulinikamata vizuri zaidi pale nilipokamatwa na kudhaniwa kuwa mimi ni mpambanaji wa yule waliyekuwa wanamuita gaidi (nilikuja kugundua kuna jamaa yuko msitini anautaka urais na huwa anawatuma vijana wake kwenda uraiani kusababisha)
Basi mimi pia nikawekwa kwenye hilo kundi, wakati hata simjui huyo wanayemsema.
Msoto niliupata Hasa,
Isitoshe wenzetu kule hasa hasa hawazungumzi kingeleza, kidogo nidate.
 
Kasema pia anaenda kwa njia za panya. Mimi nilienda kipindi fulani, kwa njia za panya hivo hivo, mpakani pale kuna njia ya kuingia, ni njia maarufu kwa mahamiaji au watu wanaoingia huko bila makaratasi ya halali. miaka hiyo nilikuwa na hela ya kunitoa hapa bongo mpaka msumbiji nchini, lakini siyo kwenye machimbo, nilikula msoto bala mpaka kukaa sawa, isitoshe nilienda mimi kama mimi, bila mwenyeji wa kunipokea wala nini. Msoto ulinikamata vizuri zaidi pale nilipokamatwa na kudhaniwa kuwa mimi ni mpambanaji wa yule waliyekuwa wanamuita gaidi (nilikuja kugundua kuna jamaa yuko msitini anautaka urais na huwa anawatuma vijana wake kwenda uraiani kusababisha) Basi mimi pia nikawekwa kwenye hilo kundi, wakati hata simjui huyo wanayemsema. Msoto niliupata Hasa, Isitoshe wenzetu kule hasa hasa hawazungumzi kingeleza, kidogo nidate.
ahsante kwa mwanga mkuu!
 
Hongera Mkuu, wewe ni risk taker Kama mimi, nenda kacheck fulsa, usikatishwe tamaa na watu hapa wengine wanaogopa toka Kanda moja kwenda nyingine hapa hapa Tanzania kutafuta fulsa kisa hakuna mjomba au mtu anayemjua pande hizo....!
 
Hongera Mkuu, wewe ni risk taker Kama mimi, nenda kacheck fulsa, usikatishwe tamaa na watu hapa wengine wanaogopa toka Kanda moja kwenda nyingine hapa hapa Tanzania kutafuta fulsa kisa hakuna mjomba au mtu anayemjua pande hizo....!
thanks mkuu kwa matumaini!
 
Kama huna passport tengeneza temporary passport ni bei rahisi tu upite kihalali usijaribu kupita njia za panya Askari wa msumbiji ni katili Sana Kama huna document kumbuka uwe na cheti cha chanjo
 
Kama huna passport tengeneza temporary passport ni bei rahisi tu upite kihalali usijaribu kupita njia za panya Askari wa msumbiji ni katili Sana Kama huna document kumbuka uwe na cheti cha chanjo
Nlitaka nimuambie hichi mkuu nadhan afuate huu ushauri lasivyo yatamkuta makubwa wale jamaa ni katili sana
 
Back
Top Bottom