Hili swala la adhabu watu wa haki za binadamu wameingilia na kulipigia kelele sana, Imefika mahali hawataki watoto waende shule na fagio na makopo ya kumwagia maji maua.
Swali la kujiuliza, Je nani atafanya usafi mazingira ya shule? Mtoto atajuaje umuhimu wa kufanya usafi wa kwake binafsi na...