Recent content by Bampalo

  1. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

    Huyu jamaa anazungumzia mziki ila haeleweki na hajui anachozungumzia eti rayvanny kabahatisha ngoma tanoo Ili aone itakayohit unaelewa maana ya EP lakini ???? Diamond platnumz Yuko booked kwa international show mpaka mwezi wa 7 hivi harmonize toka alivoondoka wasafi unaikumbukaa show yoyote na...
  2. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ualimu

    Nipo kigoma kabla sijapiga nielekeze upo mkoa ganii
  3. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ualimu

    Bro navosema KUJITOLEA namanishaa
  4. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ualimu

    [emoji41]
  5. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ualimu

    Bro mi nataka kazi ya kufundisha nishafanya ufuskaa sanaa na hauna faida mapenzi mwachie kassim mgangaa
  6. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kusoma bila mkopo na kumaliza, mlikutana na changamoto zipi?

    Pole bro mi nilikutana na wrong allocated loan nikaachaa chuoo
  7. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Kuuza Duka au Supermarket

    Tafuta link ya group la jobseakers telegram unaweza pataa mkuuu
  8. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana kwa ajili ya biashara ya chips

    Mi naweza iyo kazii aisee
  9. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea ualimu

    Nadhani mada tajwa inajieleza, nimehitimu stashahada ya sekondari ualimu wa sayansi Kemia na Biologia pia ni mwalimu mzuri wa Hisabati. Natafuta kazi ya kujitolea
  10. Bampalo

    JamiiForums Tanzania MKUTANO WA RAIS

    Tunaombaa mkutano Kati ya mheshimiwaa rais na wasio na ajira Kama alivofanya na wafanyabiasharaa
  11. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira hakuna?

    We unawaza nje ya box ushawaza nini mpaka sasaa
  12. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Kijana mpambanaji anahitajika

    Bro mi npo hapaa asee
  13. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania leo Alhamisi Julai 11, 2019 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019 Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta mjini Unguja Zanzibar, Dk Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka...
  14. Bampalo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha Chemistry na Biology

    Umesoma chuo gani
Back
Top Bottom