Hujasema upo wap mkuu.Wadau kama kichwa kinavojieleza natafuta kijana kwa ajili ya kufanya biashara ya chips....
awe
msafi
Smart
Mwaminifu
Mzoef na kazi ya chips
Alie tayar na serious na kazi ani PM
Hujasema upo wap mkuu.
Mfano mtu yupo dar anataka hiyo kazi kumbe wewe upo kigoma itakuaje...hebu elimika bhana tunachoshana
Mshahara sh ngapi? Location
Kijana ulimpata au bado?
ata mimi nnamuitaji
Mi naweza iyo kazii aiseeKijana ulimpata au bado?
are mimi nnamuitaji