Recent content by Bambo

  1. Bambo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MeTL "Mo Dewji" yakanusha habari ya kufunga Viwanda vyake tarehe 20 Oct 2018

    Nabii kwa wenzake!
  2. Bambo

    JamiiForums Tanzania Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Dawa inawaingia polepole sana.. Jpm ongeza kasi..
  3. Bambo

    JamiiForums Tanzania Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Shame on you..mlitaka muendelee kula bila kunawa mpaka, lini!!?..Jpm ongeza kasi mpaka mtapike vyote.
  4. Bambo

    JamiiForums Tanzania Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Duh sasa mnazidisha jamani..we unaweza kufanya lipi? Mlitaka muendelee kuumiza nchi kwa uchu wenu wa kukomba mboga..shame on you..Jpm adumu zaidi..
  5. Bambo

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Ni "Diaspora" Gani Serikali ya Magufuli Inawataka na Kuwapenda?

    Umeanza vizuri ila umemaliza kihuni..suala la kuwa na pesa halihusiani na passport yako bali mikakati yako tu ikiwa sokoni
  6. Bambo

    JamiiForums Tanzania UKUTA wakosa waandamanaji

    ...looh, bwana interested observer kwani usipo support upinzani unakuwa illiterate.
  7. Bambo

    JamiiForums Tanzania Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

    kingereza kiko sawa tu..nyie ndo mnataka kingereza kiwe kama unavyotaka nyie! mbona anaeleweka vizuri!! jadilini swali alilouliza!! kama mwenye kuambiwa yupo ajipambanue! Watz bwana kama haelewi concept anakimbilia kukosoa kingereza!!!
  8. Bambo

    JamiiForums Tanzania Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

    Haiwezekani apatie yote eti ila la utapeli sio!!! kama amepatia maana yake yote yako hivo labda wewe mwenyewe ndo hujui kama ni tapeli lakini wahanga wako wangekuwa wanasoma hapa wangekubaini!!
  9. Bambo

    JamiiForums Tanzania Katiba: Hivi wewe ukiwa ni mbunge unaejua kusoma na kuandika tu utafanyaje hapa?

    hata mi ninao uelewa kiasi fulani lakini hapo sielewi chochote??Hao waongoza semina watakuwa na wao hawajaelimika kama wataleta hii kitu kama ilivyo bila kujali wahudhuriaji! kwani hayo maneno uliyoandika ni kiwakilishi tu cha aina fulani ya kitu kwann wasikijadili hicho kitu kwa lugha rahisi...
  10. Bambo

    JamiiForums Tanzania Precision inauza ndege zake tano kati ya tisa, watanzania jitokezeni

    Tanzania bwana ..kumbe wezi wote tunawajua lakini tunawaacha tu!!!na watoto wao waje waibe tena.
  11. Bambo

    JamiiForums Tanzania Lemutuz na instagram

    mama Wema sepetu naye anajua kulea mume..kwikwikwi...kamlea mumewe miezi mitatu!!!!!!
  12. Bambo

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Hakuna mwenye uwezo wa kushinda uchaguzi ndani ya CCM bila kugawa rushwa

    hiyo makala ya pili ya lowasa mbona imehujumiwa kwenye mitandao haipo!! kama kuna msaada tafadhali!
  13. Bambo

    JamiiForums Tanzania Nataka kuzamia nje ya nchi, nishaurini wakuu niende nchi ipi?

    Du WATZ wana mambo..mtu kaomba ushauri lakini katika kurasa 9 nimeweza kuona washauri kama 3 tu ndo wanaoelewa wanachosema..wengine mmmh. maadam ana mtandao basi ni kuweka neno lolote..hiyo ndo sababu inayomfanya huyu msomi afikirie kuhama nchi yake..kwa sababu tanzania kuna watu wengi sana...
  14. Bambo

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    sio wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa, wengine wacha natural process ziwamalize kwa style hiyo. mwana siasa anayejua malengo yake hawezi ku-indulge upuuzi huu.
  15. Bambo

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM USA afungwa kwa wizi wa 1.5 billion

    baki hivyo hovyo mwanawane. utangurumisha mitusi wakati huko USA unajiita mtanzania na hujui nani amelipigania jina hilo mpaka ukalikuta.
Back
Top Bottom