Recent content by balozimchomvu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Kuna kigogo au vigogo 'watagongwa' na vichwa vya treni vinavyopigwa danadana!

    Hizi kazi za kuajiriwa hizi! Changamoto kwelikweli
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamua kutuliza joto la vita vya kibiashara kati ya Tanzania na Kenya

    Mimi nafikiri tuendelee na jino kwa Jino tu. Magufuli wee kandamiza tu wataomba poo wenyewe
  3. B

    JamiiForums Tanzania Zitto apingana na Mnyika na Lema

    Upinzani sio kupinga kila kitu acheni ushamba
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

    Tutawanyoosha we subiri tu. Nahapo ndio watakapojua kwamba giant Wa east Africa ni nani
  5. B

    JamiiForums Tanzania Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

    Wizi haukubaliki. Malinzi kwaheri.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Kati ya Nissan extrail Mazda tribute rav 4 old model na kluger IPI ni gari bora kwa mazingira yetu Mzee
  7. B

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Spika Job Ndugai baada ya wabunge kususia futari aliyoandaa

    Kuna tatizo, yeye kama kiongozi anapaswa kulitatua
  8. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Kariakoo mtaa gani aisee? Nakitafuta sana Mimi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Kariakoo sehem gani?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Anakudanganya huyo, kk huwezi pata Kariakoo. Kitabu kinachopatikana ni njama ndio kimejaa kibao
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Coco Beach: Manji asitisha mpango wa kuchukua ufukwe wa Coco Beach kwa lengo la kuwekeza

    Kwani bado alikuwa nampango Wa kupaendeleza!
  12. B

    JamiiForums Tanzania TRA mnahusika na wizi huu wa wafanyabiashara Kariakoo?

    Kodi ya mapato. Kodi ya pango. Kodi ya taka. Withholding tax. City service levy. Kodi ya Leseni. Kwa kodi hizi kweli mfanyabiashara huo uzalendo anautoa wapi? Msizungumze tu mambo msiyoyajua. Kodi zimekuwa nyingi mno mpaka MTU unachanganyikiwa. Nabado hapo kama una nyumba utadaiwa property tax...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

    Malinzi sifuri kabisa. Tena zero la masikio
  14. B

    JamiiForums Tanzania I Miss You- Diamond Platnumz

    Hiyo ya kwanza safi, hii yapili na savage sujaisoma kwakweli
Back
Top Bottom