Yani umeona hiyo ndio maana ya huo msemo kwa hiyo picha ya Joshua pole sana bibilia ni pana sana
Hakuna mtumishi wa mungu aliyekuwa tajiri hiviii wengine waliwagawia masikini Mali hizooo
Je!!? Hapa vipiii
Hapa mtoa mada wastaafu wanapata stahiki zao kila Mara kwa wakatii....
Tena kila ikifika wakati wa kupewa bila shida wanachukua nimekaa pale wazee wanasifia ule mfuko
Tafadhali habari ya muda huu?
Unajua nimekaa nikajiuliza je? Hii mikopo ni ya kweli au vipi??
Je!? PSPF na mifuko mingine ipi iko boraa zaidii
Naomba tusaidiane....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.