Ndege mpya ya TB Joshua ya Dolla Mil 60 hii hapa

Ushalewa divai wewe hujielewi. Huyo Joshua anafanya biashara gani mpaka aweze kupata pesa ya kununua ndege? Na je Kama kweli yeye ni nabii Mali za duniyani anazihusudu ili iweje.kama anapata pesa angewasaidia masikini na wasiojiweza.ningemuelewa otherwise namuona mpiga deal tu anawadanganya wakina lowassa wanamkatia mchuzi teh teh teh.kweli kuuona ufalme wa Mungu shughuli pevu.

imebidi nikujibu tu kwa maana kwa kiasi flani naona hujitambui,tb joshua amekuwa akitoa misaada sana,lakini bahati mbaya anapotoa misaada huwa hamuulizi hela katoa wapi,lakini akinunua usafiri inakuwa shida.hivi kufanya kazi ya Mungu ni lazima uwe maskini?kuna mifano michache ambayo inaonyesha jinsi watu walivyo wanafiki.mwaka jana hostel aliyokuwa akijenga tb joshua iliporomoka ikaua,watu wenye mawazo kama yako wakasema katoa sadaka ya damu kwa mapepeo,leo imenguka crane msikitini macca na kuua watu zaidi ya mia,hakuna anayeongelea vibaya.kila mtu anakubali ni ajali.u need to expand your reasoning capacity
 
Mtumishi akinunua ndege wanasema ni baraka, mtu wa kawaida wanasema ohh ni rahisi ngamia sijui kupenya wapi, mara pesa anaharibu angetumia usafiri wa kawaida.. Watu wa dini bna, mimi mwenyewe Mkristo ila sio siri watu wa dini wana mafungu ya kupindisha kila jambo liwe in their favor.
 
Ushalewa divai wewe hujielewi. Huyo Joshua anafanya biashara gani mpaka aweze kupata pesa ya kununua ndege? Na je Kama kweli yeye ni nabii Mali za duniyani anazihusudu ili iweje.kama anapata pesa angewasaidia masikini na wasiojiweza.ningemuelewa otherwise namuona mpiga deal tu anawadanganya wakina lowassa wanamkatia mchuzi teh teh teh.kweli kuuona ufalme wa Mungu shughuli pevu.

wewe MUNGU akifungua una uwezo wakufunga.kabalikiwa.msifu Mungu tu.
 
Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao."

Yani umeona hiyo ndio maana ya huo msemo kwa hiyo picha ya Joshua pole sana bibilia ni pana sana
Hakuna mtumishi wa mungu aliyekuwa tajiri hiviii wengine waliwagawia masikini Mali hizooo
Je!!? Hapa vipiii
 
Ndio kusema Nabii Suleiman pamoja na fahari yake yote alikuwa Mtumishi wa shetani...??? Funguka
 
biashara sihaba, mtajirisheni wajinga ndio waliwao..............
 
Yani umeona hiyo ndio maana ya huo msemo kwa hiyo picha ya Joshua pole sana bibilia ni pana sana
Hakuna mtumishi wa mungu aliyekuwa tajiri hiviii wengine waliwagawia masikini Mali hizooo
Je!!? Hapa vipiii
ALIFANYIKA MASIKINI ILI SISI TUWE MATAJIRI......

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao."
 
nawaona kina davie wanaendesha hummer huku wafuasi wao wakiwa maskini wa kutupwwa, kuna mmoja alisema kanisani kwake sadaka ni kuanzia 5000 chini ya hapo usiende, wajinga ndo waliwao, na watakuwa makapuku daima maana hawajui upande wa pili upoje ila sisi tuliobahatika kujua huutudanganyi
 
Back
Top Bottom