Recent content by Ballick mkuu

  1. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mtandao wa kijinga ukiandika sms ndefu haiendi Ukipiga simu buduma kwa wateja hawapokei Sms kwenda mitandao mengine una resend hadi unasusa Wanajua wazi hawana wateja wengi harafu wanakupa dakika kiduchu za kupiga mitandao yote Ukinunua kifurushi kwa T pesa au kufanya muamala wa salio...
  2. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Wanaume wa dar sijui kam wanaufahamu huu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

    Afande sele Mzee wa bwax Vanyboy D Platnumz Luck dube
  4. Ballick mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu gani uliwahi kukutana naye mara moja tu hujakutana naye tena mpaka leo unatamani umuone kwa mara nyingine

    hiv hiv unasahau vip kuchukua mawasiliano kwa mtot mzuri..???
  5. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania Njia za uhakika za kufanya biashara mtandaoni ili kuongeza kipato

    mkuu mkuu ungechambua kidogo wengine hata hatujui kabisa hii mivitu na mabando yanaisha tu
  6. Ballick mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu gani uliwahi kukutana naye mara moja tu hujakutana naye tena mpaka leo unatamani umuone kwa mara nyingine

    usimsifie kutokula tunda kimasihara huyo ni mzembe na hatakiwi kuitw bahari...shabiki la vyura fc limezingua
  7. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunaomtakia mema msanii Diamond

    Kumbe bado kuna matahira nchi hii wanao mfananisha diamond na wasanii wa hapa bongo??
  8. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba unakwama wapi mdogo wangu?

    media zinambust habustiki Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ballick mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

    Huyo kishaliwa ndiyo maana anakudharau...
  10. Ballick mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli mke ni ubavu wa pili

    nilikuw nazitafuta comment kama hizi nizlike....
  11. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    2010 hiyo Diamond na mwenzie bob junior nawadai hela yangu sh 600 niliwakopesha mayai mawili.walikuwa wateja zangu kila siku nikiwakuta nje pale sharobaro rekod mogomeni mapipa lazima wanunue au wakope kesho yake walipe sas kuna siku nimewakut nje walikuw watatu wakala mayai mnne kila mtu...
  12. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Mzee mstaafu shikamoo!!.. Asante kwa simulizi yako nzuri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ballick mkuu

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa BMW Shikamooni

    sas si bora nyie wenye passo wengine tunamiliki baiskel kamongo sijui unaijua?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom