Wengine wanakuwa wanafikra kuwa wakikuacha Sikh nyingi utamcheat ndio maana anakupa kila siku ili uone ya kawaida usitamani mwingine usimzamnie binti vibaya.
Hayo mawazo ya babu zetu eti soma kwanza upate kax ndo uingie kwenye mapenz usaw huu inchi kila cku viwanda vinakufa bora mapenz yanakufa baadae yanafufuka na unakuwa kwenye faraja mpya .
Na we suburi kisu kigeukie upande wako kama ni raha unatembea na Mke WA MTU mpaka mnatiana mimba inamaana condom hakuna au unazania hawa walioleta condom ni kuzuia ukimwi tu,mkuu hilo jambo lako tafuta muafaka
Mm wangu anaweza akakupigia cm na kukwambia baby naumwa kweli ukiwahi kurudi kumwangailia hata dalili za kuumwa hana bas mm niliamua kuwa kauzu akinipigia baby naumwa namwambia pole halafu nakaa kimya kama cjui vile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.