ball joint
Member
- Jul 9, 2016
- 89
- 33
Mleta mada inaonekana we ndo muhusika
Wanawake bwana kweli tuishini nao kwa akili. Mnagegedana fresh na anaenjoy kuliko hata wewe alafu baadae mkizinguana tu unakuambia unanichezea ,yeye akija kulala kwako utampa kila kitu na hela juu siku akiondoka lkn wewe ukienda kulala kwake usipoacha kitu ni lawamambona na ninyi mnakuja kwetu tunawahudumia hivyo hivyo na unapo ondoka na mshiko juu wakati utamu tumepata wote sasa mnalalamika nini?
Asante kwa masahihisho= maradhi
Ila ata biblia imesema nyie wanaume ishine na wake zenu kwa hakili. Nimeipenda.Mwanamke hata ukimlipia vyote ...mfanyie wema wote.....jitoe kadili ya uwezo wako....poteza mdaa & Mali kwa ajiri yake km hujamuoa ukamuweka dani ni kazi bure hawana maana HAWA watu aise ,
Hata akiwa na kwake wengi hawataki kila ukitaka kufanya kitu utaambiwa kipo acha tu ...sasa cku anune hapo utaimb a ule wimbo.....acha waisome no ...kosa lenyewe sasa halina hata natiki ya kuchukia ..ni wangumu sana wa kusameheeeee ...women hapana aise"Ishinao kwa akiri na upendo"
na c kwa *upendo na akiri".never trust women till I die.
Yote heri kwani we unaishi wapi huyaoni mitaani au jeuri? Juzi nimeamlia ugomvi mkubwa sana kisa mwanaume kuzamia kwa mwanamke.so if u think vyovyote it's okay.Mleta mada inaonekana we ndo muhusika
Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
Unanishangaza sana dada..kwa hiyo wewe ulitakaje?Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
Anayejitambua anafanyaje hapoNo naona vijana wazaririswa sana yani ila kwa mwanaume anae jitambua hawezi fanya hivyo anakuwa anajua wajibu wake.
Mm utanisamehe,naona wewe ndio haujitambui..umekariri kila kitu afanye mwanaume.Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
Wewe utakuwa Ithnein na nusuOooh. basi wewe Ithnein.
Yule aliyekosea ndio amekuambukiza mkuu.Sijui nilikuwa nawaza nini!!!
![]()
Na usawa umeumbwa na nani??Sio kulalamika elewa kilicho hongelewa jua wewe mwanaume umeubwa umtunze mke sio mke akutunze wewe. Basi kama haujifunzi kafanye ukichokwa ukabalaswa utayakumbuka maneno yangu.
ExactlyNothing is good or bad but your thinking make it so.
Hilo ndo tatizo la dada zetuSasa unataka alipie nini hapo?,hiyo wine,chakula na taulo ulillompa,wewe ukienda kwake ukapewa vitu kama hivyo hua unalipishwa?,hivi beijing mlikwenda kulilia nini?,si usawa?,acha uisome number,huu ndio usawa wa beijin