Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

huyo sio mke wa mtu anatafuta mbinu ya kukupiga, kweli mke wa mtu uwe na mimba ya mwanaume mwingine ujiamini hivyo ha ha ha acha nicheke! uyo kama mke wa mtu hana mimba mm ndio nakwambia.
 
Jifanye kama we ndo huyo mume wa huyo mke uliye mtia mimba alafu hilo jibu utakalopata ndiyo sahii.
 
Starehe ya dakika kumi inazaa majuto ya maisha.
Hongera kwa starehe na pole kwa matokeo ya starehe.
Mungu akusaidie aisee.
Kahakiki hiyo mimba kama kweli ipo na kama kweli yako kisha nenda
Kaombe msamaha kwa mkeo na Mungu wako.
 
Mwambie aje muishi wote, kwani wakati uko nae si ulijua una mke
 
Na we suburi kisu kigeukie upande wako kama ni raha unatembea na Mke WA MTU mpaka mnatiana mimba inamaana condom hakuna au unazania hawa walioleta condom ni kuzuia ukimwi tu,mkuu hilo jambo lako tafuta muafaka
 
Mpeleke mke wako akatiwe mimba na mume wa huyo mwanamke then itakuwa bila bila.
 
Wakati mnaenda kuzini ulimshirikisha yeyote humu?
 
Mwombe ushauri mkeo, na kwa vyovyote kama yuko mbele dk 20, naye atataka atiwe mimba ili roho yake itulie. Akikubali mwambie ani- pm nifanye hiyo kazi.
 
Habari JF,

Naombeni ushauri jamani, hapa nilipo nimempa mke wa mtu mimba, na mimi mwenyewe ninafamilia yangu.

Amesema nikiikana atakuja kwangu aishi, sasa hapa nashindwa nifanyeje, nimemwambia atoe hataki.

Naombeni ushauri jamani.

Ahsateni.
Mkuu ungekuja kuomba ushauri kabla hujamtia mimba!!
 
Habari JF,

Naombeni ushauri jamani, hapa nilipo nimempa mke wa mtu mimba, na mimi mwenyewe ninafamilia yangu.

Amesema nikiikana atakuja kwangu aishi, sasa hapa nashindwa nifanyeje, nimemwambia atoe hataki.

Naombeni ushauri jamani.

Ahsateni.

ah wala usijali mwana...wewe sii ulishamgegeda hana jipya huyo wewe ulishafanya wajibu wako kama mwanaume ambao ni kugegeda. hiyo mimba kataka mwenyewe. as long as wewe hukumwambia kuwa wataka kuzaa basi wewe unatakiwa kumpeleka yeye court. huu ujinga wa wanawake kudaka daka mimba unatakiwa ukemewe
 
Back
Top Bottom