Recent content by baldin

  1. baldin

    Nafasi za Mahakama: Nimeitwa kwenye Usahili mara tatu bila kuitwa kazini

    Mkuu interview mlifanyiwa na utumishi ?niliona km mahakama inaendesha interview zake wenyewe...
  2. baldin

    Principal wa social science (udom) ni fisadi

    Unafikiri ni kwanini anaogopa?kama ni malipo halali kwanini aogope kulipa?hayo malipo yana uhusiano gani na mkataba wake!?
  3. baldin

    Majina ya Oral Interview ya Utumishi ya 21 November 2017, yameshatoka?

    Yapo hewani mkuu ingia kwenye site yao
  4. baldin

    Bloggers, Affiliators & YouTubers tufundishane njia za kupiga pesa online

    Telegram inabeba members wengi zaidi, ukijunga una post site yako members wana visit ,pia na wewe utakuwa una visit za wengine.
  5. baldin

    Bloggers, Affiliators & YouTubers tufundishane njia za kupiga pesa online

    Blogs views promotions Jiunge upate views
  6. baldin

    Bloggers, Affiliators & YouTubers tufundishane njia za kupiga pesa online

    Hii traffic unaweza inunua kupitia site gani ili hizo nchi ziweze kutembelea site...
  7. baldin

    Huu ndio uozo na ukiritimba na maajabu ya majibu ya 'Interview' ya TBS

    Kama lengo ilikuwa ni kumpendelea wasingeweka pass ndogo walikuwa na uwezo wakuandika pass hata 80,inawezekana ni typing tu mchapishaji kakosea.
  8. baldin

    Msaada Mwenye IDM Patch

    nithak: how to hack idm manually
  9. baldin

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Steps nilizofuata ni nimezima Simu,nikatoa betri alafu nikairudishia then nikabonyeza vol up + hold button then nikachomeka USB cable lakin haijawa detected.
  10. baldin

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Nime install kies lakn nikijaribu kuchomeka Simu kwenye PC hai detect (vol up + hold button).
  11. baldin

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Mwenye PC driver za Samsung gt b7722 anisaidie tafadhali Cc:2991
  12. baldin

    Msaada: Application ya whatsap haifanyi kazi

    GBWhatsapp APK Download Latest Version 5.40 (Video Calling)
Back
Top Bottom