habari wadau..
nina home wifi router ya airtel nayoitumia kwenye kazi zangu..
sehem nilipohamia network ya airtel iko very poor router imekuwa haifanyi kazi kwa spidi nayotaka...
nimeamua kubadilisha mtandao.. na ubaya hii router inaingia line ya airtel tu..
natafuta mtu tubadishane nae ambaye mazingira yake airtel router ina nguvu tubadilishane...
au kama mtu anataka kununua nauza 80,000