Huu ndio uozo na ukiritimba na maajabu ya majibu ya 'Interview' ya TBS

Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi. Pengine huyo ana elimu ya kuunga unga ile anaanzia certificate, diploma mpaka bachelor, au pengine yeye pekee ni wa jinisia tofauti, au pengine ni mlemavu au pengine ana uzoefu wa miaka mingi. Kutakuwa na factors nyingi tofauti na marks unazoziona hapo! Kuwa mpole tu. Kama umeachwa riziki yako haipo hapo so ni vyema ukajaribu sehemu nyingine pia...
 
Wakuu wanaJamiiForums,

Mambo ya ajabu kabisa yanatendeka katika taasisi hii nyeti ya Umma. Hawa mabwana waliitisha maombi ya Nafasi ya Kazi katika kitengo cha Food Science and Technology kada ya Quality Assurance Officer Daraja la Pili(II) baada ya kufanyika kwa usaili wa kuandika yaani Written Interview majibu yametoka lakini cha kushangaza mtu mwenye alama 53 za ufaulu amechaguliwa kwaajili ya hatua inayofuata huku wale ipanga wenye ufaulu wa 65,64,60,59 wakiachwa.

Ninyi maafisa wa TBS tunaomba kujua ni vigezo gani mnavitumia kuchambua wasailiwa?
Duuuh cjui wametumia utaratibu gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wanaJamiiForums,

Mambo ya ajabu kabisa yanatendeka katika taasisi hii nyeti ya Umma. Hawa mabwana waliitisha maombi ya Nafasi ya Kazi katika kitengo cha Food Science and Technology kada ya Quality Assurance Officer Daraja la Pili(II) baada ya kufanyika kwa usaili wa kuandika yaani Written Interview majibu yametoka lakini cha kushangaza mtu mwenye alama 53 za ufaulu amechaguliwa kwaajili ya hatua inayofuata huku wale ipanga wenye ufaulu wa 65,64,60,59 wakiachwa.

Ninyi maafisa wa TBS tunaomba kujua ni vigezo gani mnavitumia kuchambua wasailiwa?
Mwenzio katoa mlungula
 
Kama lengo ilikuwa ni kumpendelea wasingeweka pass ndogo walikuwa na uwezo wakuandika pass hata 80,inawezekana ni typing tu mchapishaji kakosea.
 
Ndo maana sikwenda kwenye interview figisu figisu nyingi cc wanyonge hatuwezi.
 
Siku nyingine jitahidi upate 80 kama ya Huyo wa kwanza uzuie kulialia.....[HASHTAG]#PAMBANA[/HASHTAG] NA HALI YAKO
 
Back
Top Bottom