Nafasi za Mahakama: Nimeitwa kwenye Usahili mara tatu bila kuitwa kazini

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
473
Nimetoka kwenye interview leo ya mahakama nafasi ya utunzaji wa kumbu kumbu.
Ni mara ya tatu leo naitwa kwenye interview na huwa najibu maswali yote vizuri kwa 99%, ila sijawahi kuitwa kazini..!!

Inawezekana kwavile sina mtu wa kunishika mkono ndio mana huwa sifanikiwi.. na vyeti vyangu pia ni vizuri sana..

Tunaomba utumishi mtende haki kwenye hizo nafasi, wanaostahili kupata hizo nafasi wazipate kwa uhalali.. tumezichoka tabia zenu..

Mkuu maswali unajisahihishiaga mwenyew nini..? Kaa fikiria kwa makini unaweza kugundua udhaifu wako, may lugha nk. Then fanyia kazi. Kila la kheri hope utapata hizo ulizofanya leo

Mkuu maswali unajisahihishiaga mwenyew nini..? Kaa fikiria kwa makini unaweza kugundua udhaifu wako, may lugha nk. Then fanyia kazi. Kila la kheri hope utapata hizo ulizofanya leo

Hayo maswali ulijiuliza wewe mpaka uwe na uhakika kuwa ulijibu vizuri?

Usikate tamaa endelea kutafuta kazi by the meantime tembeza hata matunda maofisini upate hela ya kujikimu.
Kwani ukiulizwa swali huwezi kujua kama umepata mpaka usahihishiwe..?

Kwani ukiulizwa swali huwezi kujua kama umepata mpaka usahihishiwe..?
Naomba ujibu swali lifuatalo.

Najua utajibu sahihi lakini utaona wasahihishaji wanasemaje.

Siasa ni nini?

Inawezekana una jibu vizuri 99% lakini kuna wenzio wana kuzidi wewe kujibu hivyo wanapata marks kubwa zaidi yako...

Nimetoka kwenye interview leo ya mahakama nafasi ya utunzaji wa kumbu kumbu.
Ni mara ya tatu leo naitwa kwenye intervie na huwa najibu maswali yote vizuri kwa 99%, ila sijawahi kuitwa kazini..!!
Inawezekana kwavile sina mtu wa kunishika mkono ndio mana huwa sifanikiwi.. na vyeti vyangu pia ni vizuri sana..
Tunaomba utumishi mtende haki kwenye hizo nafasi, wanaostahili kupata hizo nafasi wazipate kwa uhalali.. tumezichoka tabia zenu..
Mkuu interview mlifanyiwa na utumishi ?niliona km mahakama inaendesha interview zake wenyewe...

Pole sana ndg.....!!!
Hata mm ni Mara ya kwanza nmefanya usaili wao mwaka huu...maana nilikuwa nmesimama kuomba kazi zao miaka mitatu. Niliyoifanya nilipita written tukaenda oral ..sasa nasubiri majibu maana kuna hali Fulani ilikuwa inajitokeza na waligundua km tumewasitukia mchezo wao...nasubiri majibu maana tulikuwa watatu na walikuwa wanahitaji mtu mmoja.
Utumishi nmewalazia kiporo chao, bora wawe wanafanya wazi hata km wanasaidia mtu wao wafanye siri tena mazingira ya mbali na eneo la tukio.
Pole sana ndg!!

Pole sana mkuu, hao jamaa wapo fair sana. Walimpa ajira mtoto mmoja wa mkulima niliyemsomesha kwahyo nawafahamu kabisa, jaribu tena baadae

Perry alilalama kazi za TRA akakosa, wewe umelalama kazi za mahakama uta................

Nimetoka kwenye interview leo ya mahakama nafasi ya utunzaji wa kumbu kumbu.
Ni mara ya tatu leo naitwa kwenye interview na huwa najibu maswali yote vizuri kwa 99%, ila sijawahi kuitwa kazini..!!

Inawezekana kwavile sina mtu wa kunishika mkono ndio mana huwa sifanikiwi.. na vyeti vyangu pia ni vizuri sana..

Tunaomba utumishi mtende haki kwenye hizo nafasi, wanaostahili kupata hizo nafasi wazipate kwa uhalali.. tumezichoka tabia zenu..
Wewe ni Tapeli mkubwa ndo maana hata hupati kazi,lipa pesa yangu laana hiyo na utaishia interview tu. Ngoja natafuta picha yako niiweke hapa na mitando yote ya kijamii,namba jina na location ninavyo tayar.

[quote uid=37322 name="Pawaga" post=25089551]Wewe mpuuzi lipa pesa yangu kwanza Acha utapeli.[/QUOTE]
Hahahaaaaa.....!!!!
wewe kijana unahangaika kweli kweli badala ya kufanya kazi za halali upate pesa unakaa kufanya utapeli wako huo...
Nimekwambia mm sitaki hiyo huduma yako ya wizi utaniletea matatizo mm ni mtu mzima nina familia mkuu..
Nimekwambia nilikuwa sijakuelewa kama hizo huduma unazo fanya za kuwa unganishia vifurushi vya mb na dakika kuwa unafanya wizi...
umesema utanidisconect na hicho kifurushi cha chuo ulicho niunga, nimekwambia sawa, fanya hivyo haraka... ukasema utanichafua nisipo kutumia elfu tisa yako 9,000/=)..
Sasa kwann unanilazimisha kushiriki huo uovu unao ufanya kaka..!!
haya endelea kunichafua, ila kila utakapo pita niko nyuma yako kufafanua....

Similar Discussions

Back
Top Bottom