Recent content by Balantanda

  1. Balantanda

    Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?

    Bala Is Always Here..... Wengine siku hizi tumekuwa Wasomaji zaidi...Long Live JF
  2. Balantanda

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Hawa ni Bantu Group Band wakiwa jukwaani....Huyo wa Tatu kutoka kushoto ni Eddy Sheggy (Mzee Shakaza) akiwa anashambulia Jukwaa na 'Wana Bantu Boma Tunakula Miziki'......
  3. Balantanda

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Duh...We jamaa...Una umri gani wewe?...Nani kakudanganya?....Eddy alipotoka Washirika Tanzania Stars yeye na wadogo zake Christian na Francis waliungana na Komandoo Hamza Kalala kuanzisha Bantu Group...Hao akina Mwinjuma na Choki walikuwa waitikiaji (back vocals) tu...Sikiliza wimbo wa...
  4. Balantanda

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    https://youtu.be/TZusxe0Cs3E?si=dqBa2hzh9_1OIPno
  5. Balantanda

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nipo Comrade.... Bala Is Always Here...
  6. Balantanda

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    https://youtu.be/6FH5UGe6nxY?si=qEk7u1TeQZDnQTlJ
  7. Balantanda

    FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    Vipi hii nayo ilichezwa kabla??..Mlihongwa shilingi ngapi ndugu MHASIBU
  8. Balantanda

    Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/-kiongozi-wa-kanisa-azikwa-akiwa-hai-mkoani-mbeya-2749348
  9. Balantanda

    Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

    Inakuwaje taarifa ya Mwaka 2013, zaidi ya miaka 10 iliyopita unaileta leo?….HUU NI UPOTOSHAJI WA KIWANGO CHA JUU…Hili tukio lilitokea mwaka 2013 wakati Mkwajuni ilikuwa wilaya ya Chunya na Wilaya ya Chunya haijagawanywa…Kwa sasa Mkwajuni ipo Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe… Pia kipindi tukio...
  10. Balantanda

    Askofu Protase Rugambwa avishwa hadhi ya Ukardinali

    Hii kitu inakuharibu sana…Punguza kula Kitimoto
  11. Balantanda

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    Maxence Melo Mike Mushi Invisible Faridah Paw Asha Dii Mzee Mwanakijiji Balantanda Bubu Ataka Kusema (BAK) Mkandara Gender Sensitive/Regia Mtema (R.I.P) Mwafrika wa Kike Kelly01/Binti Maringo Nyani Ngabu Game Theory Fundi Mchundo Jasusi Lunyungu Gaijin Joka Kuu YourNameIsMine Belo Masanilo...
  12. Balantanda

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    Hahaaaaa….Tupo kama hatupo….Miaka 15 sasa ndani ya JF….Ni kama juzi tu
Back
Top Bottom