Recent content by bakwesi

  1. B

    Masikini Prof. Kitila Mkumbo: Ndio basi tena!

    Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini wakati Prof Mwesiga Baregu akinyimwa ajira UDSM eti kwa kuwa mjumbe wa KK ya CDM, wakati huo huo Dr Kitila Mkumbo hakuguswa, na infact aliachiwa akagombea na kiti cha UDASA? Fikirisha ubongo kidogo mtamuelewa Dr Mkumbo.
  2. B

    Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Huyu jamaa hakuielewa dili, akaanza kusema kweli, wakam"Mgimwa." Simple as that.
  3. B

    Kuga Mziray (mjumbe bunge la katiba) afunguka kuhusu Muundo wa Serikali

    Kaahidiwa ukuu wa wilaya? Eti mtu Hana chama anachokiongoza hafu anajitia sijui kumwakilisha nani? Kuga, it's time to man up. Watoto wako wanakuelewa vipi?
  4. B

    Dar road works at risk as WB bans 3 firms; One of the road work is 125km Chalinze-Tanga highway...

    Hii habari imewekwa kudraw attention yetu kwenye barabara zetu ambazo haziwezi kuhimili mvua za siku mbili, kumbuka Dumila bridge mvua ya siku moja tu, sasa hii siku mbili madaraja zaidi ya manne khalas. Corruption of the highest order. Nobody follows up on the quality kwa sababu wameshapakwa...
  5. B

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    Unajua Hawaii maccm wengi ni form four failures na wanadhani Watu wote wako Kama wao.
  6. B

    Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

    Ulisikia kauli ya Prophet T.B.Joshua kwa Mwigulu? "All those who kill their fellow country men, either directly or by order, shall Not live beyond 2015. Why don't these killings happen at your political rallies?" Mwenye masikio ya kusikia na asikie.
  7. B

    Mh. Mbowe kupigana na Mh John Komba,inakuwa je?

    Hiyo ni CV ya kiongozi wa CCM, no wonder tumefika hapa tulipo. It is time to get serious, remove this trash.
  8. B

    Kumbe Wabunge wengi wa CHADEMA hawana Elimu ya Juu Kabisa!

    Wale mawaziri mizigo ni kidato cha ngapi?
  9. B

    Hoja za CHADEMA M4C- Operesheni Pamoja Daima zijibiwe kwa hoja, si viroja. Watz si wajinga

    "Huku mtaani" ndiko waliko wananchi waliowatuma Chadema. Wanapewa majibu live. Bungeni si mnazomea?
  10. B

    Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

    RIP Dr Mgimwa, the latest victim of establisment's brutality. You dont think like them you go.
  11. B

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Hajamaliza Kazi aliyotumwa. Na pesa aliyochukua atalipa vipi.
  12. B

    CHADEMA Yazindua Kanda ya Zanzibar

    Does it make any difference. The fact remains kwamba kanda imezinduliwa.
  13. B

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Du!! Kumbe na wewe uliishaiona hiyo? Ndio mchezo wao hao.
  14. B

    Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

    . Weweeee!! Nape atakusikia. Usitaje habari ya mwenge.
  15. B

    Nchimbi: Mungu nipe moyo wa kusamehe

    They say "power corrupts, and absolute power corrupts absolutely". It is after power has been taken away from him that Nchimbi is seeking God's intervention? What a folly, Emmanuel. Repent brother, for all the murders you have committed, may be God will listen.
Back
Top Bottom