Watajwe na kisha watolewe hadharani ya Mabina yawapate nawao tumechoka na udhalilishaji wa nyumba yetu sasa.
Ugonjwa wa kutotaja majina unaendelea... Zitto hajataja wana Uswizi, Mwakyembe kuna mambo hakuyataja, Lembeli naye kuna majina hakutaja, Pinda hakutaja meremeta, Jakaya hajataja wale wauza unga na wale wezi wa bandari....etc etc
wauza sembe_ccm
wauza pembe za ndovu_ccm
wezi_ccm
wabakaji_ccm
wasambaza virusi_ccm
wangoa kucha_ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
why always ccm?
Idd azan
azan zungu
marium kasembe
Wanatafuta hela za uchaguzi,Ccm wote wezi,mngeona hekalu la kikwete kule msoga mnaweza msiamini,nyumba ya zuma ni ya kawaida tu kulinganisha na ya kikwete kule msoga.kama rais analimbikizia mali atawezaje jali matatizo chanya ya watanzania?Afya anaenda angaliwa marekani badala ya kuboresha huduma Za afya nyumbani,mjifunze toka afrika kusin,mandela alitibiwa nchini mwake
Nitachangia nauli wapelekwe Kotini CHINA
. Weweeee!! Nape atakusikia. Usitaje habari ya mwenge.Ongeza..
Tindikali CCM
Uvunjifu wa Ndoa CCM(chanzo Mbio za mwenge)
Mabomu CCM
Ugaidi wa kuzusha CCM
Hapa mnatuchezea viini macho,
Kumbe wauza unga wanafahamika lakini mnalindana!
Kwani Tanzania hatuna mahakama za kushughulikia Hizi kesi?
Au Tanzania tuelewe hatuna serikali!
Idd azan
azan zungu
marium kasembe
wauza sembe_ccm
wauza pembe za ndovu_ccm
wezi_ccm
wabakaji_ccm
wasambaza virusi_ccm
wangoa kucha_ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
why always ccm?
Wanatafuta hela za uchaguzi,Ccm wote wezi,mngeona hekalu la kikwete kule msoga mnaweza msiamini,nyumba ya zuma ni ya kawaida tu kulinganisha na ya kikwete kule msoga.kama rais analimbikizia mali atawezaje jali matatizo chanya ya watanzania?Afya anaenda angaliwa marekani badala ya kuboresha huduma Za afya nyumbani,mjifunze toka afrika kusin,mandela alitibiwa nchini mwake
Habari imetolewa na Mchungaji na kutangazwa na gazeti la Mengi (Mchaga mwenzao).
wauza sembe_ccm
wauza pembe za ndovu_ccm
wezi_ccm
wabakaji_ccm
wasambaza virusi_ccm
wangoa kucha_ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
why always ccm?