Masikini Prof. Kitila Mkumbo: Ndio basi tena!

Masikini Prof. Kitila Mkumbo: Ndio basi tena!

naah nadhani watu wanaona hilo jus kwa vile imetumika kwenye mpira..they aint see wats behind the mpira and national teams..though yawezekana kuna fungu limeingia kwenye mifuko ya watu lakini i support huyo aonaye bil.2 is kidogo mno..
je tujiulize ni fungu gani ambalo huyo mtalii na vijakazi wake wanalitumia out of the budget?yaan haieleweki fedha zajaje na zatumikaje??lakin wanaweza tumia kwa jus 1day if not siku 3??
can we compare them na hii bil.2 ambayo imetumika kwa more than 100 pipo kwa muda mrefuuu??

Huyu kwa sasa kapoteza matumaini ya kufikia malengo yake akiwa upinzani maana nguvu yake na jeuri yake ya kumtoa Mwiguru pale Iramba magh ilichangiwa na chadema sasa baada ya kitumbua kujaa mchanga hana uwezo wa kua mbunge wa kuchaguliwa target zake kwa sasa ni kua mwimba sifa za watawara pia ndoto zake mpya ni kuona ccm inaendelea kutawara ili walau apate ubunge wa kupakatwa mwsho wa siku apewe cheo!!😁pole prof kwa kusariti mageuzi.
 
Huyu Prof katumwa na yuko kwenye payroll ya mafisadi wa magamba.kwa nini alipokuwa cdm hakuandika haya ya kuwasifia ccm.

maprofesa hawa wa kichina china......................nil icho kiona ktk vyuo vya DAR,nitawasimlia wanangu tu......hakuna mtanzania anayeweza kubuni na kutengeneza 'kibiriti'

Aliyeleta uzi nadhani anatafta mchumba wa kiume

Mchumia Tumbo ......

Si kwel kuwa anayoandika prof ni kinyume na mapenzi yake bali ndo alokusudia akidhan anawakomoa cdm na kuwafurahisha ccm

Pro-Chadema huwa mnafurahisha sana. Haya mpigieni makofi mwenyekiti wenu akiburudika hadharani

[video=youtube_share;eE8MfHVZ9Aw]http://youtu.be/eE8MfHVZ9Aw[/video]
 
Kwani kitira amekosea ni vijana angalieni taifa kwanza vyama badae kuchambua wagombea sijambo baya na anatakiwa achambuwe wa ccm na waupinzani bira kumuonea haya mtu yoyote ambae badae atapeperusha bendera ya taifa huko nyuma kwa kweli tumekuwa na marais ambao hatuwajuwi nchi yetu kila mtu anataka kuwa rais tusipo wafahamu nchi yetu inaweza kushikwa na mwenda wazimu tukaja kujuta ongera kitira endelea watakuja kutambua umuhimu wa hayo unayo fanya
 
heri yako mwenye shibe, haya karibu basi mahabusu tuungane kula zetu bata.

Maprofesa Wa Tz Wengi Wao wachumia tumbo kama huyu kitila mfuata mkumbo,profesa gani unahongwa laki 2? Njaa mbaya sana hasa inapokimbilia ubongoni
 
Pro-Chadema huwa mnafurahisha sana. Haya mpigieni makofi mwenyekiti wenu akiburudika hadharani

[video=youtube_share;eE8MfHVZ9Aw]http://youtu.be/eE8MfHVZ9Aw[/video]

Prof gani anahongwa laki 2 tu na kuamua kuwa mfuasi wa mtu? Huu ujinga upo tz tu!
 
Kwanini hamporomoti walietanga kumuingiza kwa mbinu batili cdm?

Zungumzia mwenye maadili kuigombea ACT Kaka ndipo tukuelewe.
Ulikataa kama hutumiwi na ccm sasa umefikiawapi kukataa?
 
Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini wakati Prof Mwesiga Baregu akinyimwa ajira UDSM eti kwa kuwa mjumbe wa KK ya CDM, wakati huo huo Dr Kitila Mkumbo hakuguswa, na infact aliachiwa akagombea na kiti cha UDASA? Fikirisha ubongo kidogo mtamuelewa Dr Mkumbo.
 
Mimi kama mwanafunzi wa sayansi ya Ujasusi, nimeona viasharia ambavyo sio vya kupuuzia vinavyoelekeza kwamba betlehem ndio Kitila Mkumbo
 
Last edited by a moderator:
cdm ni chama makini ukiona umetimuliwa chamani jua una walakini hicho ndicho kitila asicho taka kukubaliana nacho. ukweli ni kua kitila ni kikwazo kikubwa sana kufikia ukombozi wa nchi hii kitila ni ndumila kuwili.

Chinga umemaliza yote, ila kinacho sikitisha huu uchumia tumbo aliuanza lini? make ukisoma makala zake myaka miiwili iliyo pita hutaamini kama ndiye ambaye anamwaga urojo huu!!!
 
Upuuzi tu... hakuna chochote.
Wachumia tumbo. Mnazidi kupwaya.
 
Chinga umemaliza yote, ila kinacho sikitisha huu uchumia tumbo aliuanza lini? make ukisoma makala zake myaka miiwili iliyo pita hutaamini kama ndiye ambaye anamwaga urojo huu!!!

Huyu prof mpya nadhani alitumwa laini chadema wameshutuia na sasa inabidi awe wazi tu sasa! Haishangazi ni hajaachishwa pale udsm waati aina Beregu walifutwa maramoja baada ya uwa wajumbe wa cc ya cdm!
 
Kila siku mimi ninadhani kwa jinsi siasa za bara la africa zilivyo mfumo wake uliridhiwa au
kupokelewa kinafki , ki usaliti , kizandiki na kiubinafsi yaani kwakujipendekeza pendekeza na ndivyo
tume uchukulia ni mfumo hata mashuleni na maishani maranyingi. Mara nyingi hata tukiona ujinga tunafunga mdomo ili tuu ajue tumemuelewa kafanya sawa na atakae fungua mdomo atatengwa kwa
ukweli wake.
Sasa kwa jinsi hiyo kwa maoni yangu mimi siungi mkono kwa wasomi wa hadhi ya juu na wenye
uwelewa wa mambo kuzungumzia siasa za afrika kwasababu mfumo sio salama kwao,
nina ushahidi wa watu fulani kupoteza vyeo au hadhi zao kisa walisimamia ukweli wao au
maslahi ya jamii na hivyo kupingana na wakubwa au wanasiasa. Na pia nina ushahidi wakutosha
kwamba kuna watu walipandishwa vyeo au hadhi kisa tuu aliugeuza ukweli kuwa uwongo na
uku akijua ninaangamiza jamii kubwa kwa maslahii ya mkubwa mmoja au wanasiasa.

Hinyo kitila mkumbo, dr banna na wengineo ni kwa ushauri wangu tuuu kama
huwezi kuuzungumzia ukweli wa moyoni mwako ni bora mkae mbali na vyombo vya habari
au msiseme kitu, kwasababu mara nyingi baada ya kukipata unachokitafuta nafsi
itakutafuna na itakutesa mpaka kaburini kwasababu tuuu uligeuza ukweli kuwa
uwongo kisa tumbo au madaraka.
Na pia mna wakatisha tamaa vijana wenye hari ya kusoma mpaka kuwa kamanyinyi
kwasababu unachokiongea na jinsi ulivyo inakatisha tamaa, na pia sikuhizi hadi
mtu wa darasa la saba anawatukana wasomi kwa sababu ya mawazo yao mabovu
kwa hiyo tutumie akili zetu vizuri jamani.
Asanteni
 
Tusitoe hukumu mapema. Ngoja atakapofika kuwachambua kina Slaa. Maana kaahidi kuwachambua wote.
 
Kila siku mimi ninadhani kwa jinsi siasa za bara la africa zilivyo mfumo wake uliridhiwa au
kupokelewa kinafki , ki usaliti , kizandiki na kiubinafsi yaani kwakujipendekeza pendekeza na ndivyo
tume uchukulia ni mfumo hata mashuleni na maishani maranyingi. Mara nyingi hata tukiona ujinga tunafunga mdomo ili tuu ajue tumemuelewa kafanya sawa na atakae fungua mdomo atatengwa kwa
ukweli wake.
Sasa kwa jinsi hiyo kwa maoni yangu mimi siungi mkono kwa wasomi wa hadhi ya juu na wenye
uwelewa wa mambo kuzungumzia siasa za afrika kwasababu mfumo sio salama kwao,
nina ushahidi wa watu fulani kupoteza vyeo au hadhi zao kisa walisimamia ukweli wao au
maslahi ya jamii na hivyo kupingana na wakubwa au wanasiasa. Na pia nina ushahidi wakutosha
kwamba kuna watu walipandishwa vyeo au hadhi kisa tuu aliugeuza ukweli kuwa uwongo na
uku akijua ninaangamiza jamii kubwa kwa maslahii ya mkubwa mmoja au wanasiasa.

Hinyo kitila mkumbo, dr banna na wengineo ni kwa ushauri wangu tuuu kama
huwezi kuuzungumzia ukweli wa moyoni mwako ni bora mkae mbali na vyombo vya habari
au msiseme kitu, kwasababu mara nyingi baada ya kukipata unachokitafuta nafsi
itakutafuna na itakutesa mpaka kaburini kwasababu tuuu uligeuza ukweli kuwa
uwongo kisa tumbo au madaraka.
Na pia mna wakatisha tamaa vijana wenye hari ya kusoma mpaka kuwa kamanyinyi
kwasababu unachokiongea na jinsi ulivyo inakatisha tamaa, na pia sikuhizi hadi
mtu wa darasa la saba anawatukana wasomi kwa sababu ya mawazo yao mabovu
kwa hiyo tutumie akili zetu vizuri jamani.
Asanteni
 
Chinga umemaliza yote, ila kinacho sikitisha huu uchumia tumbo aliuanza lini? make ukisoma makala zake myaka miiwili iliyo pita hutaamini kama ndiye ambaye anamwaga urojo huu!!!

.....Chezea u-VC wewe, kwani yy njinga? Ila mm nipo na diary yangu tu ipo siku nitamkumbusha!
 
Back
Top Bottom