Recent content by Bakita

  1. Bakita

    JamiiForums Tanzania Why Lowassa is the next president

    Sijafaham Nini umeelezea zaid ya lowasa ningetaman kufaham maandish yako Kwan namie pia nimshabiki WA lowasa Kama nakuomba uelezee kwa Kiswahili si wote tunafaham kimombo tafadhal mdau.....
  2. Bakita

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi uliokubuhu, Mtoto wa kiafrika aliyewekwa Zoo na kutupiwa ndizi mbivu

    Kama kuku anapouona mtama
  3. Bakita

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya Kikwete yazua balaa Bungeni

    Wacha zako Wewe hawa wapemba hapa wanakosa gani mpaka uwatukane? Au unachuki zako? Na hakika furaha ingekua duni siku akitokea Mtu akakutukana, watu wanazungumza maendeleo hapa ya nchi Wewe unaleta ushabiki Hebu changia ulete challenge tujue Kua tuna watu muhim humu JF
  4. Bakita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Wakili wa moyo

    Mnatusumbua au mnapenda kubembelezwa?
  5. Bakita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Wakili wa moyo

    Hawa watu wanasumbua hisia zetu Kama mlijua Kua hamuwez kuendeleza hii Hadith Bas msingeileta hapa daud 1
  6. Bakita

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

    Wewe nawe si Mke lol
  7. Bakita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Wakili wa moyo

    Basi tunakuomben hata Huyu mr rock atuletee hii Hadith tafadhalini
  8. Bakita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Wakili wa moyo

    Umerud vipi jaman maana naona hatuon tena hii hadithi au imeishiia wapi? Hebu iendelezen jaman tafadhalini
  9. Bakita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Wakili wa moyo

    Jaman hii hadithi imemalizia hapa?
  10. Bakita

    JamiiForums Tanzania Andika namba mbili za mwisho za simu yako

    99......
  11. Bakita

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mheshimiwa Meya wa Ilala au namfananisha?

    Then keep dreaming I cross my fingers for u, your dream will come true 😀
  12. Bakita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Jamani Yule ronaldinho ameoa ?
  13. Bakita

    JamiiForums Tanzania Uke unauma

    Hujaulizwa ulikua una wapenz wangapi!
  14. Bakita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 666-nyayo za kuzimü

    Ahsante mzizi mkavu
  15. Bakita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 666-nyayo za kuzimü

    Ahsante mziz mkavu nasubiria nijue khatma Yao
Back
Top Bottom