Matibabu ya Kikwete yazua balaa Bungeni

Matibabu ya Kikwete yazua balaa Bungeni

lizabon ww ni msengerema,kwahyo huw unapochangia habar za lowassa kwamba ni mgonjw huw unajitoaga akili,lakin jk akiugua ni mipango ya Mungu,we farara kweli
Tatizo lako ni ulevi huyu bawacha mwenzenu kawaharibu kwa mipombe.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    26.7 KB · Views: 264
kessy km yeye mwanaume aje kibanda maiti.

Cuf kuna siku walimwambia asije Zanzibar akawauliza kwani Zanzibar kuna nini mpaka aje na akasema hakuwai kufika na harofika kabisa!

Lakini hawa wabunge wa Cuf wanataka Rais akatibiwe muhimbiri? Ni lini Mara ya mwisho Lipumba kwenda kutibiwa muhimbiri? Unajua hawa wapinzani siku hizi wameishiwa hoja kabisa!
 
Harofika ni nini? vilevile hospitali yako ya taifa hauijui? sema muhimbili, sio muhimbiri! unachokitetea ni sawa na akili yako!
 
Cuf kuna siku walimwambia asije Zanzibar akawauliza kwani Zanzibar kuna nini mpaka aje na akasema hakuwai kufika na harofika kabisa!

Lakini hawa wabunge wa Cuf wanataka Rais akatibiwe muhimbiri? Ni lini Mara ya mwisho Lipumba kwenda kutibiwa muhimbiri? Unajua hawa wapinzani siku hizi wameishiwa hoja kabisa!

Lipumba hawezi kwenda kutibiwa Muhimbili kwa kuwa hakuna dawa, madokta na huduma nzuri.

Sasa cuf wanataka kikwete aende akatibiwe Muhimbili ili aende akajionee mwenyewe dhiki na madhila wanayopata wanyonge pale wanapokwenda hospital za serikali!

Cuf wanajua kuwa kitanda usichokilalia hujui mateso ya kunguni wake! Hivyo kwa kikwete kutibiwa pale na kuona hali ilivyo labda imani ingemngia japo kidogo hivyo angalifanya juhudi za kurekebisha hali japo kidogo.. Si unajua yeye ndie topu hapa tz.
 
kessy km yeye mwanaume aje kibanda maiti.
===Suala la kutibiwa nje ni matokeo ya uwekezaji hafifu na sera mbovu wa huduma ya afya nchini. Wananchi maskini wanakufa kwa kukosa huduma nzuri za matibabu. CCM ndio waliotufikisha hapo. Walaaniwe wezi hawa..!!
 
hakuna mwana ccm mwenye akili timamu kwa sasa wote ni wapuuzi tu.
 
Wapemba wa CUF ni wajinga sana SEIF akienda kutibiwa Oman na India sawa.JK ameenda marekani wanalialia.

Wacha zako Wewe hawa wapemba hapa wanakosa gani mpaka uwatukane? Au unachuki zako? Na hakika furaha ingekua duni siku akitokea Mtu akakutukana, watu wanazungumza maendeleo hapa ya nchi Wewe unaleta ushabiki Hebu changia ulete challenge tujue Kua tuna watu muhim humu JF
 
safari ya JK tu ni shs milioni 175,000,000/= + hawo wengine aliowaburuta, hizi ni kodi za watanzania maskini. ni fedha nyingi zaidi zilizowahi kutumika kwa upuuzi kama huo wa tenz dume wakat Tz inawezekana
Nchi yetu inahitaji maombi. Tumuombe Mungu wa rehema atuwezeshe kupata viongozi ambao watajali maisha ya raia wao maskini. Hospitali hazina dawa, lakini kiongozi anaishi kama vile ana pesa ya mafuta!
 
Back
Top Bottom