Siku zote tumekuwa tukisoma historia ya mtu mweus, vitabu vingi vimeelezea historia ya mtu mweus walau kidogo tumesoma historia ya Waarabu. Je, ushawahi kujiuliza kuhusu wazungu:
- Wametokea wap!?
- Nini asili yao (Asili yao ni wapi)?
- Kwanini kwenye filamu nyingi za kiimani Mzungu ana-act...
Waungwana hizi ni biashara za watu na inawezekana kabisa hao watu wakawa ni vigogo wakubwa ambao hawagusiki kirahis.
Acha tuenjoy mana kuna wadada wanaringaga sana mwisho wa siku tunawaona kwa Porn Video local blogs au channels.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wana mipango mikubwa inayoogopesha sana na hawa kina Rockefeller na Rothschilds ni vibaraka tu
Wale makonk wenyew familia 13 ni zile familia za Papal Bloodline
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichoskia na kusoma ktk baadhi ya majalida na vitabu ni kuwa huyu jamaa(Bill Gate) ni puppet wa illuminate anatumiwa kutekeleza matakwa ya wanaoendesha dunia hii kuhakikisha anaandaa mifumo tegemezi na angamizi kwa ignorant debt slave ambao ni sis
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Mimi nilichomuelewa mtoa mada ni kwamba kama huna wazazi wawil au mmoja basi utaweza kuwaona walezi wengine wa karibu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan kama China alihusika ktk kuvujisha iki kirus, kwa kufkiria kwangu hii ni vita baridi ya kiuchumi kati ya hizi super power countries
Pia sidhan kama China kajitengenezea kirus ili kuua raia wake ambao ndo wajenga uchumi na ustawi wa nchi ya China
Naomba kuwasilisha!!
Sent using Jamii...
Mkuu iyo ni depression na mentally illness pia ukiwa unawaza sana itakuja kuwa psychological problem,,Na hii inatokea endapo kuna kitu ulipanga uwe nacho ktk stage flan ya maisha sasa umekikosa,,wahi kumuona daktar wa psychology ataweza kung'amua tatizo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu waungwana
Leo naomba tujadiliane kuhusu ugonjwa mkubwa wa mawazo (Stress disease) ambao naamini 99% au 100% ya watu wote duniani wanakumbwa na ugonjwa huu ambao haujulikani au umesahaulika miongoni mwetu
Ugonjwa wa mawazo (suriya) (stress disease) upo wa aina nyingi kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.