Recent content by Bajabiri

 1. B

  Ray C: Pole ila una kosa la jinai la kujibu

  hili nililisemwa kwenye wall page ya Tanzania Government kule fb, kuwa ray c anapaswa kupandishwa kizimban,na pia jk amemuangalia ray c lakin kuna kina ray c wangapi??alipaswa kupambana na watu wanaosababisha RAY C NA WENZAO KUWA VILE
 2. B

  Usithubutu kununua LUKU kwa M-PESA

  tena ya ubuyu mi nauza
 3. B

  Usithubutu kununua LUKU kwa M-PESA

  hahahahaaaa,,,kuna mdau anadai ilichukua 5 deiz je ungeeleweka?
 4. B

  Usithubutu kununua LUKU kwa M-PESA

  mtoto halali hili la muda wa maongezi bure ndo lonalotugharimu
 5. B

  Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

  mdau wewe bora umejua hila za wanasiasa ambao kwa kiasi kikubwa wanatupotezea muda na pesa za kununua magazeti
 6. B

  Serikali tajiri

  Jamani me nataka kujua kuna baadhi ya magari huwa nayaona plate namba zake zimeandikwa hivi ST (NAMBA) A MFANO ST 204 A
 7. B

  Majambazi yanatikisa kariakoo

  trust no one even ur shadow
 8. B

  Majambazi yanatikisa kariakoo

  No wonder kwa kariakoo
 9. B

  Je Kinana ni jangili?

  Adili so unamsafisha au unarekebisha rekods
 10. B

  MAUAJI NGARA: RPC:Raia alitaka kumchoma Polisi kisu

  Movie ishapata DIRECTOR HIYO, MWALIM MKUU SULEIMAN KAVA
 11. B

  Ujinga sasa basi: Kinana tuoneeni huruma watanzania

  hili lipo sana mdau,kama mhusika hajatengeneza line basi anakupa line ya mtu wake wa karibu
 12. B

  maoni ya katiba mpya

  Binafsi napendekeza kuwe na ukomo wa kuwa bachela,wasiotekeleza kuoa au kuolewa wakifikisha umri wa miaka 25 wawajibishwe
 13. B

  CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

  hahahahaaaaa........nahis kauli hiyo anaweza kuitoa manguler
 14. B

  Polisi wawili wauawa kwa mapanga na wananchi wenye hasira Ngara; kituo cha polisi chachomwa moto!

  wasioitakia mema nchi hii ni WALA RUSHWA NA WABADHIRIFU TU,hakuna mwingine
Top Bottom