muda mwingne jichunguze wap umekosea na sio kirahs mkeo wa ndoa kukunyima usifikirie negative tu waza na ww wap umekosea au inawezekana anaumia maana wengne kama sis tumejaaliwa mashine mtu analia tu muda wote anaumia haenjoy sex so jitafakar mkae chini muyajenge kila kitu kitakuwa sawa othrwse...
mimi yanga ila goal la jana ni goal zur na la halal uzembe ni wa azam watatutia aibu huko mbelen wajifunze kaangalie game ya madrid na sevila tena bora lile ndio utajua uzembe kama ule hautakiw walitakiwa watie mpira kwapan huku wanabishana na muamuz au mmoja atande kwenye mpra
azam walikuwa wanapoteza mda tu wapuuz lile si tawi la simba unazan wange kuwa wanacheza na sjsi wange fanya uzembe ule sema safi my wetu kaja mwenyew gheto
young african the biggest team in Tanzania tuko laz watangaze ubigwa kwetu tarehe tatu ila sio kutufunga final kigoma never ever happen 27 july 2021 bakar ajiandae kunyanyua kwapa
Kupika kwa siku moja ni gharama lakin kama yatakuwa ni mazoea sio gharama kwanza unaweza pika wali ngoma ikaapigika mchana na jion moja mara 2 jiwe moja ndege wa wili lakin ukisha taaka kujitia ham ya ugali leo kesho pilau kesho birian aaah lazima utasanda
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.