Watanzania hutumia asilimia moja ya akili zao

Watanzania hutumia asilimia moja ya akili zao

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,235
Reaction score
2,360
Cs4B7D9WcAAnOla.jpeg
Na bwana Biubwa Maingo wa Taasisi ya Namaingo.
 
Kuwa kaburu sio lazima uwe na ngozi nyeupe.Hata hawa ni makaburu tu.
 
Ukiwa chadema ni majanga zaidi kwenye uwezo wako wa kufikiri ,maana hata hiyo 1% inachukuliwa na Mbowe.
 
basi sisi watanzania ni magenious sana yani,mambo yote yanayoendelea kumbe ni ka 1% tu ndo tumetumiaa ?

Mimi nikajua atasema tumetumia 100% ya akili zetu,ningesema sasa tanzania isubiri kuharibika kwa sababu uwezo wetu wa kutumia akili umefika mwisho.

Lakini bahati nzuri tumetumia 1% mpaka sasa,kwa maana tukitumia 10% tutakuwa juu kileleni kabisa hukoooooooooo.

Mungu ibariki tanzania,Mungu wabariki watanzania
View attachment 1123762Na bwana Biubwa Maingo wa Taasisi ya Namaingo.
 
Back
Top Bottom