Recent content by Bahran

  1. B

    Jamani bodi ya mikopo hivi hela yetu ya field lini?

    ujinga wetu ndo umetukosesha haki yetu na bado aisee
  2. B

    Ubabe

    Et kwa kua vyuoni wenyewe ndo kila kitu, bas inawafanya wakusoma wakose baadhi ya haki zao. Mfano, et hii hii bima tuijuayo inawatafuna watu vibaya mno ktkt baadhi ya vyuo hapa TZ.
  3. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tanganyika ni Eneo kubwa sna ukilinganixia na Z'bar, kinachonixhanga za, kwanini Watanganyika Tunaukana utanganyika na na Kuulilia Utanzania ? Ushirikiano si kitu kibaya lakini ikishafikia hatua km hii ya kuvutana kwa vitu visvyoeleweka Haina haja tena. Kisehemu kidogo km Z'bar ndo...
  4. B

    Anayejua kuhusu post graduate diploma

    thatha kwa nini ubadilxhe fan, komaa m'baba uxikimbie tatzo.
  5. B

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    kazi popote, acheni u'brother mEn na uxixter du.
  6. B

    Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Wazanzibar 2waachie Nchi yao, Iv k2 gan kinatufanya 2uulilie muungano wakati inaoneka wazi kuwa kuna vi2 haviko Clear. Au 2takoxa nin km 2kitengana, haina haja ya serikali 2 wala 3.
  7. B

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Haterz wamenyong'onyea km wamefungwa wao. Manchester United Forever !
  8. B

    Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

    huwez linganixha et kutetea albino basi nawe albino na hii ya mashoga, issue iko waz kabixa, Huwezi tetea ushoga km we sio Shoga, hii haihitaji Elimu km unavyodhani, maana cku hz elimu inaonewa xana, et mtu kusoma ndo anapata ujasiri wa kutetea homosexual, aa wap, au we umexomea kuzimu. Yeyote...
  9. B

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    hii ndo Bongo boya wewe, kiwe cha kujiuza au cha nini, mwixho wa cku wote kutoka ktk chuo chchte mtatoka na kidegree hcho, af kiwango cha mxhahara chuo hakizngatiwi, ths is bongo xo fanya yko coz ss 2nafanya ye2 UDOM.
  10. B

    Elimu ya kibongo

    Hii elimu ya kitanzania mbona hivi. Si universities, collages, primary wala secondary, mambo hayaeleweki, yan vurugu tupu.
  11. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu Akiwa mkoani Kigoma, anatafuta wa kubadilixhana nae kokote kule piga 0762370117 .
  12. B

    During sex: What is your favorite song to hear?

    durng xex nothng take place in the mind of participant apart frow the sex.
Back
Top Bottom