Recent content by Bahingaye

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

    Hakuna Cha ICC huyu inabidi tukomae naye kwa umoja kama taifa tumshitaki hapa hapa nchini Ili aipate vizuri hasira ya watanganyika
  2. B

    JamiiForums Tanzania M23 inaelekea Bukavu mjini

    Mwanzo madai ya M23 yalikuwa kwamba jamii ya banyamulenge iliyokuwa ikiishi boma Kwa wingi ilikuwa inaonewa hivo wakaunda kundi Kwa ajili ya kujilinda , ila sasa wanaitaka Congo yote Kwa ujumla Hawa M23 Wana ajenda Yao nyuma ya pazia iweje wasisalie Goma kwanini wanaitaka Congo yote je wao ndo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga

    Binafsi sio mkabila , nimekaa sana na wachaga sio wote ni wabinafsi lakin Wengi wao Wana Imani kwamba wao ni Bora kuliko makabila mengine tanzania kitu ambacho sio kizuri, unajua mtu akishakuwa na Imani ya kwamba yeye ni Bora kuliko wengine kinachofuata mnakijua , ubinafsi, uporaji, upendeleo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Jacqueline ni Mke halali wa Mengi na tayari alishakuwa na watoto ,, Lakini pia Mengi alikuwa na Mke mwingine ambaye tayari Alishakuwa na watoto wakubwa, hivo busara hapa itumike baina ya wanafamilia , Jacqueline kama Mke halali apewe stahiki zake na Mke mkubwa wa Mengi apewe stahiki zake , ndugu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

    Dini zitawaua ,, bila WAARABU na WAZUNGU Leo hii msingekuwa mnabisha hovyo humu , inasikitisha sana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

    sababu ya kubishana humu Mimi sijaiona, kwanza WAZUNGU na WAARABU wote ni MBUZI wapuuzi yaaani waafrika tumekuwa kama KONDOO vile tunavowashobokea Hawa watu kwanini tusipende asili yetu na mambo yetu na kuachana na mijadala ya kishenzi namna hiii ,,,,
  7. B

    JamiiForums Tanzania SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

    Lugha iliyotumika ni hatari sana na inahamasisha uhasama mbaya, ” WAHAMIAJI HARAMU“ Kwamaana hiyo wazanzibari wote waliopo bara wote ni WAHAMIAJI haramu ukijumuisha na kiongozi wetu mkuu wa serikali?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha jamii inayoongea Kiingereza ina uelewa mkubwa na IQ za juu kulinganisha na waongeaji wa Kiswahili

    China wanazungumza kiingereza,? Japan wanazungumza kiingereza? South Korea wanazungumza kiingereza? Russia wanazungumza kiingereza? North Korea wanazungumza kiingereza? Malaysia wanazungumza kiingereza? Singapore wanazungumza kiingereza? Matafaifa yapo mengi yasiyozungumza kiingereza na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo nitakutibu ndani ya mwezi mmoja

    Habari wakuu, mwenye kufahamu dawa ya vidonda vya tumbo tafadhari anijuze ninasumbuka mno
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Brother asante sana pia pole sana , ulitumia Kwa muda Gani? Ratiba ilikuaje asubuhi , mchana na jioni au? Ulikuwa unatumiaje na Kwa muda Gani?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sasa unaingia Tarime! Angalizo: nimeikuta sehemu

    Kazi kazi 🤣🤣🤣 najaribu kutafakari Mwamba akiwa kapiga goti anaomba msamaha 🤣🤣🤣
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Mawazo ya namna hiii kuendelea n ngumu, Cha msingi njia ya kudhibiti hayo maji itafutwe, hiv mfano mwepesi fikiria kama nchi za magharibi zingekuwa zinaogopa nuclear power kuzalisha umeme kwa hofu ya uhatali wake Leo hii umeme wa nuclear ungekuwepo?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

    Mkuu pole sana , utanenepa tu wakati wako upo karibu usikate tamaa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mwenye kujua dawa ya vidonda vya tumbo msaada Tafadhali nipo mwanza vinanisumbua mno 😓
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimpoteze mwanamke mwema kwasababu alijamiiana na mwanaume mwingine kwa bahati mbaya

    Wakuu ,, punguzeni sauti ni kubwa mno mtamuamsha dronedrake na wazee wa CHAPUTA
Back
Top Bottom