Habari zenu,
Nilileta uzi uliosema;
Ushauri: Mpenzi wangu yuko hati hati kuachishwa kazi
Mpenzi wangu baada ya kusubiria malipo yake mpaka leo ajalipwa anapigwa kalenda tu, mara ya mwisho ya kwenda kuchukua hela akaambiwa asubirie wiki ijayo ikabidi nichukue maamuzi magumu kukaa kimya yani...
Asante sana rafiki sifikirii kabisa hiyo ela yake napigana kivyangu, mara ya mwisho kapewa mshahara wake mwezi huu tarehe 01 imekwisha tarehe 10 mwezi huu kweli laki 2 iishe ndani ya siku 10 namwachia Mungu
Toka mpenzi wangu asimamishwe kazi ni mtu mwenye mawazo ila huwa namfariji, tatizo linakuja ninampomsaidia huwa nampa elfu 5 kama mahitaji kwa siku sasa jana nilimpa 1500 aende kula chakula cha jioni kwa mama ntilie
Toka jana analalamika hela gani ninayompa nilijisikia vibaya mno maana mimi...
Habari zenu,
Mpenzi wangu yuko hati hati kupunguzwa kazi kwenye hotel kubwa jina kapuni, toka jana sina raha aliponiambia na tuko kwenye maandalizi ya kufunga ndoa hapa tulipo tumeshauriana hiyo hela atakayopewa aende akosomee udereva ili aweze kubadilisha kazi. Yani sina raha kabisa nawaza na...
Habari zenu,
Mwenzenu nina mpenzi ambaye asilimia kubwa mimi ndo msaada kwake, cha ajabu kapokea mshahara hata kunipa elfu kumi hajanipa nilienda kulala kwake hata kusema nauli hii hapa hakuna na ukizingatia ni mume mtarajiwa halafu huku ananisumbua nimzalie mtoto.
Yani kila kitu ni...
Habari zenu,
Mimi ni mgeni humu ndani.
Nina mpenzi wangu nampenda kutokana na tabia zake huwa tunagombana kuna mdada mmoja wanaelekea kwenye mahusiano nikaja kujua tukagombana na yule dada nilikuja kumtukana kwenye simu yakaisha.
Sasa akaja kuniambia ukweli yule dada anamtaka na pesa anazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.