Kutatua tatizo la machinga kunahitaji sana utashi wa kisiasa kuliko chochote.
Hizo njia nyingine za kutatua ni za ziada lakini njia kuu ya kwanza ni utashi wa kisiasa.
Serikali iliyopo madarakani na itakayokuja iache kuwachukukia wamachinga kama mtaji wao wa kura kipindi cha uchaguzi...
Kushindwa kutatua changamoto inayoweza kutatuliwa ni dalili ya serikali iliyofeli na isiyojua ifanye nini.
Mgogoro wa machinga na serikali upo kwa miaka zaidi ya 15 sasa serikali inashindwa kuja na suluhisho la kudumu zaidi ya njia za mda mfupi zinazofanya tatizo liendelee kuwepo na lizidi...
Standard za hali ya juu sana.
Afrika hususani Tanzania itatupasa miaka 100 ijayo kufikia viwango hivi.
Jaribu kufikiria kilichotokea Oct 29,kingeweza kuzuilika kama viongozi wangekuwa wanawajibika kama wenzetu.
Kwa utawala huu wa CCM wote wenye akili na wasiokuwa nazo wanateseka.
Kila mmoja na muda wake wa kufikiwa.
Polepole CCM mwenzenu kateseka.
Nchimbi CCM mwenzenu kateseka.
Sabaya na umafia wake kateseka.
Hata wewe utateseka muda wako ukifika.
Any one against the regime(CCM) will suffer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.