L805
- ukitumia wino wa sublimation unaweza kuprint sublimation papers ambazo zinatumika kwa ajili ya vikombe, sahani, chupa za maji n.k
- ikiwa na wino wa kawaida unatumia kuprint picha, labels, vipeperushi,n.k . Japo quality ya print yake haidumu sana.
Pia unaweza kuprint transfer papers...