United ni ngumu sana kuitetea.
Imani ninayo Kwa wachezaji, lkn Sina imani na carrick toka mwanzo.
INEOS kwenye makocha wanazingua .
Nmeona mpaka vivel yule sporting director anaweza kuondoka coz anasema tunazngua kweny usajili wa makocha mpk wachezaji.
Ofcoz jamaa ukiangalia mapendekezo yake...
Timu ninayo nzuri, sema matokeo ndio yanaleta maneno mengi.
Lkn saiv nalia na mindset za wachezaji, na kocha namlaumu Kwa selection ya kikosi haswa sesko kuanzia nje ( labda sababu alikuwa injury)
Pili naona anazngua kweny sub, na tatu namlaumu hajui kuamusha morali ya wachezaji haswa tukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.