Recent content by Bado Bado

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sijui nipo mwenyewee, sijawahi sikia sauti ya mzee Bakhiresa

    Inawezekana wewe ni kiziwi ndio kwa maana huwezi kumsikia.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Marufuku kwa Mtanzania aliyeukana uraia kumiliki ardhi nchini

    Uchumi kama wa Zimbabwe unanukia
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jibu swali langu? Wengi watafeli hesabu yangu

    Ni bodmas rule
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jibu swali langu? Wengi watafeli hesabu yangu

    Sorry ni 15: 10x1=10 +5 =15
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jibu swali langu? Wengi watafeli hesabu yangu

    Jawabu ni 25 unafuata Bodmas rule
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lukuvi usiwakandamize raia wa Tanzania

    Jee yeye Lukuvi ni msafi? Hana ufisadi wowote? Au anashabikia Watanzania wanaojituma kwa nguvu zao zote ughaibuni ili kuja kuwekeza nyumbani, kitu ambacho kinafaidisha Serekali ya Tanzania ma Watanzania wote kwa Ujumla
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Kama nitakuwa nimefahamika sikuwa nikikaripia ila nImekumbushia tu tena kwa heshima kwa kumwita mvumbuzi wetu Mkuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Mkuu sisi tunaotumia iphone naona umetusahau
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Take One cha Clouds TV hakifai kwa maadili, kinatangaza Ushoga

    Ndio Tanzania ya Viwanda hiyo, wanaongea ukweli huambiwa wachochezi na Watangazaji wa ufuska ndio huonekana wasema ukweli. Masikini vizazi vyetu vijavyo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Dar es Salaam, May 9, 2016….National Microfinance Bank Plc (NMB) is issuing a 13% interest bond aimed at everyone who wishes to invest in NMB and earn an attractive return. This is the first such bond to be issued by NMB and can be bought from any NMB branch or selected bond brokers with a...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Prof Shaban Mlacha(UDOM) ashtakiwe kwa ubadhilifu, udhalilishaji, udini, uvutaji wa sigara hadharani

    Udini mmeweka mbele kuliko i maslahi ya Taifa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Prof Shaban Mlacha(UDOM) ashtakiwe kwa ubadhilifu, udhalilishaji, udini, uvutaji wa sigara hadharani

    Siropokwi Baba naongea kwa uhakika wacha Ujinga
  13. B

    JamiiForums Tanzania Prof Shaban Mlacha(UDOM) ashtakiwe kwa ubadhilifu, udhalilishaji, udini, uvutaji wa sigara hadharani

    Wewe Mtowa Mada ni bonge la Bwege kwa kutoa mada hii unavyojaribu kumkamdamiza huyu Professor kwa sababu ya dini yake, kwa akili yako unafikiria Waisilamu ni wajinga na hawaoni kinachoendelea katika ugawaji nyadhifa za juu nchini Tanzania, Nyadhifa za juu nyingi hupewa Wagalatiko kama kwamba wao...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Prof Shaban Mlacha(UDOM) ashtakiwe kwa ubadhilifu, udhalilishaji, udini, uvutaji wa sigara hadharani

    Kwanza kabisa Mtowa yafaa ukajifunze kiswahili, pili inaonekana wewe ndio una udini kisa huyu Professor ana jina la kiisilamu, ulichokiandika ni upumbavu mtupu wa kupaka watu matope, nne wewe Kilaza Mjanja unaonekana ni mtu wa fitna sana na mwenye kutapakaza sumu ya kuwagawa Watanzania. Siku...
Back
Top Bottom