Recent content by Badedi

  1. Badedi

    Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372

    Mimi ninayo ya TTCL. Inawezekana ku-unlock?
  2. Badedi

    Who is the all time best scientist? Einstein, newton or liebnitz

    Einstein had an IQ of 160 while Newton had an IQ of 190.
  3. Badedi

    Tatizo lolote la PC/device

    Jaribu DC-unlocker. Ukifanikiwa tujulishe.
  4. Badedi

    Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Days of our lives ni series ya tangu 1965 mpaka leo aise.
  5. Badedi

    Eid El Haj ni kesho au keshokutwa?

    Eid ni kesho. Na haitwi "Eid alhaj". Ni mazoea tu ya watu kuita hivyo lakini Eid ya kesho huitwa Eid Al-adha.
  6. Badedi

    Hii ndiyo St. Marys Mazinde juu iliyotoa Tz One Form Six

    Kakudanganya nani? Hakuna kitu kama hicho.
  7. Badedi

    Matokeo Ya Kidato Cha Sita ACSEE 2017/2018

    Usiwatishe vijana wewe hamna kitu kama hicho!!
  8. Badedi

    Naombeni ushauri chuo kizuri kwa diploma ya electric engineering

    Dar es salaam institute of technology (DIT)
  9. Badedi

    Ni aibu alichonifanyia mke wangu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Badedi

    Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Season 5 imetoka mwezi uliopita. Inaendelea ilipoishia. Jack kapoteza panga lake [emoji23]
Back
Top Bottom