Who is the all time best scientist? Einstein, newton or liebnitz

Kuna baadhi ya wanasayansi wengine walikuwa wajanja wajanja tu kama madalali, sasa hii law of inertia ilitusaidia nini sisi katika calculation na application yake the law state that "kila kitu huendelea kuwa katika hali ya kusimama au mwendodhahiri mpaka pale kitakapo lazimishwa na kani kutoka nje" law za kinadhalia mimi huwa siwaelewagi naonaga kama madalali tu.
 
Hapo alimaanisha kwamba, yeye akionekana ni mjuzi sana, ni kwa sababu ametumia mambo ambayo wengi wenye ujuzi mkubwa zaidi yake wameyaweka kabla yake.

Ni kama 2Pac alivyoimba na kusema

"What more can I say I wouldn't be here today if da old school didn't pave the way"



Sasa ukitaka kumlinganisha Newton na Einstein, unalinganisha baba na mtoto, hata kama mtoto kaongeza aliposhindwa baba, Baba anaweza kusema huwezi kumlinganisha mtoto na mimi, mimi ndiye niliyemfundisha kusoma na kumpa mikoba iliyompeleka akafika hapo alipo.

Ni sawa na mtu kusema Magufuli ni rais bora kuliko Nyerere kwa sababu Magufuli anajenga SGR railway ambayo Nyerere hakuweza kujenga, wakati Nyerere ndiye aliyemsomesha Magufuli bure mpaka leo akaja kuwa rais.

We jamaa ni older version of me.
 
Ni Yesu tu ndio the Best Scientist. Najua kuna mibwege itapinga tu na kutokwa na mipovu,Oooh Swali haliulizi hivyo.
 
Msimsahau na Stephen Hawking who died recently..
Wapenz wa Time travelling,Black holes,The theory of everything,String Theory na warm holes mnamfahamu huyu
 
Ni Yesu tu ndio the Best Scientist. Najua kuna mibwege itapinga tu na kutokwa na mipovu,Oooh Swali haliulizi hivyo.

jifunze kuweka kila jambo kwenye sehemu yake uwezi uza nyanya na mkaa katika kopo moja,
inasemekana Yesu mwenyewe alisema yakaisali apewe kaisali na Ya Mungu apewe Mungu.
 
Mi sijaona Mwanasayansi Kama Nikolai Tesla, alikuwa Genius wa ukweli sio wa kuungaunga, na vitu vyake vilikuwa havina mjadala ni vitu vyenye matokeo ya moja kwa moja,

Fitina tu ya kumdunisha ndio imemfanya aonekane mwanasayansi wa Kawaida, but not
 
nikiona neno scientist wa kwanza kunijia ni Nicola Tesla.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom