Duuuh upo kama mimi mkuu..
Sijawahi kuona ushubwada wowote sijui takataka gani hizo kwanz siamini kama vinaweza kujichukulia maamuzi ya kunifanya jambo lolote baya japo naamini vipo.
Natembea usiku mkubwa na sehemu nyingine zinahadithi kama hizo lakin sihisi wala kuona chochote japo kwa...
Kwanini tunalala yaani ukimtizama mtu aliyelala au chochote kilicholala unaouwezo wa kukifanya chochote utakacho.
Wakati huo huo hicho kiumbe kilicholala kipo hai.
Bado natafakuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.