Recent content by Back-to-back

  1. B

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Yaan heading imenifanya nicheke Kwa dharau, lakini baada ya kuja kusoma nimeona kama una kahoja vile
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

    Kuna watu wanautani wa ngumi kabisa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

    Lakini kilichomfanya alete hapa ni hizo kelele maana kuna kelele zenye faida halafu kuna kelele zisizo na faida.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Haji Manara na Watu wako 'wanaokusapoti' unajua kuwa kama Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba na CEO Barbara 'wakikushtaki' unaozea Jela?

    Acha upang'ang'a wewe kipindi kile Manara mko nae huko mlikuwa mnamsifu akiongea utopolo na kutukana hovyo lakini sasahivi ndo mnaona anakosea. Au ndo kunya anye kuku tu?. That's nonsense,endeleeni kukenua tu nyie sindo mmemlea hivo?😏
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

    1.Tunaenda uwanja wa Jamuhuri Stadium. 2.Repeat again. 3.Ok sawa. 4...........
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

    sawa nimekuelewa Vipi hapo👆👆ni sawa kusema ivo au si sawa?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

    Hii nchi ni tajiri nasema uongo ndugu zangu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

    😂😂
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

    Huyo mtu atakuwa anakizizi siyo bure
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia na Baraza la Maaskofu (TEC) walikuwa na kikao cha siri?

    Kama ilioneshwa hadhari basi hiyo siyo Siri tena
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini mama ndo mlezi wa nyumba

    Kwahiyo unamaanisha SSH anafanyaje vile
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia na Baraza la Maaskofu (TEC) walikuwa na kikao cha siri?

    Unajua maana ya Siri au ni unafanya kusudi tu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Toa Maoni yako kwenye Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari

    Kwahiyo kwenye hii thread tusitoe maoni
Back
Top Bottom