Recent content by Bacary Superior

  1. B

    Current account Bank ya CRDB mnalipaje faida

    Weka Pesa kwenye fixed akaunti, hizo Current account hazina faida yoyote. Mwisho wa mwaka utapewa tu 5000 kama interest ya kuweka.
  2. B

    Mikopo CRDB na NMB

    Inawezekana kukopa hata kwenye Taasisi 100 kikubwa ubaki na 1/3 yako kwenye take home.
  3. B

    Mwenye kuifahamu Msc.Traditional medicine pale MUHAS

    Angalia kwenye prospectus mzee utaona kila module. Halafu mpaka Masters hauelewi nini unaenda kusoma.
  4. B

    Jamaa yangu kadata kwa penzi moto la jimama

    Acha hizo miaka 39 unamuita jimama? Jamaa ako ana umri gani?
  5. B

    insurence and risk management

    Kama hauna connection achana nayo, niliwahi kuelezea tafuta thread kuna mwenzako kafungua kama wiki hivi imepita
  6. B

    Help or formular.

    Probability? Elewa vizur swali hiyo ni Set.
  7. B

    Bachelor of science in Insurance and risk management

    99% inahusiana na Bima, kuanzia Life assurance, property and pecuniary, motor vehicle, Marine insurance, Engineering insurance na Reinsurance business na Liability insurance. Pia Claim issues za insurance. Pia utasoma risk Operational risk pamoja na ERM framework, Namna ya Quantify, priotized...
  8. B

    Msaada kuhusu Ada ya MD na Nursing kwa sisi tusiokua na uhakika na Mkopo

    Ile enzi zetu zamani kwenye TCU Guidebook walikuwa wanaweka na Ada, Usijali nenda kwenye website zao pakua prospectus utaona fee structure.
  9. B

    Bachelor of science in insurance and risk management[IFM] VS Bachelor of transport and logistics management [NIT]

    Kwenye term ya market basi BTLM wako vizuri kuliko BIRM maana makampuni ya Bima yako 30 plus 1 Reinsurance, Ila kuna hifadhi za jamii, Banks na Sehemu nyingi tu ila kwa bongo department za Risk zipo kampuni chache. BIRM ina cover eneo kubwa sana Finance, Social Security, Risk management, na...
  10. B

    Kwa matokeo haya ya dogo niendelee kumipia ada???

    Sifahamu matokeo hayo ni 2.8/4.0 au 2.8/5.0, kwa kweli hayo matokeo hayaridhishi lakini aendelee kulipiwa ada maana umebaki mwaka mmoja tu amalize diploma yake.
  11. B

    AHSANTE MUNGU FOUNDATION COURSE NIMEPASUA TUKUTANE UDSM

    Kaka Hongera, Lakini Awamu hii ya Profesa Ndalichako kafuta hiyo kitu, Kwahiyo umepigwa.
  12. B

    Nilimpotezea huyu mwanamke kwa hii kauli ya kishenzi

    Uliwahi kumgegeda au story nyingi tu bro?
Back
Top Bottom