jovinary John
Member
- Jul 26, 2019
- 22
- 10
Jaman naomba kuuliza kozi ya bachelor of science in insurence inakipaumbele cha ajira?
Nashukuru braza vp lkn kuusu mkopo nkisoma io kozi naweza pAtaKasome hiyo makampuni ya bima kwa sasa ni mengi,pia unaweza fungua ofisi ,ukawa agent au broker,kwingine ni benk,bandarini,kwenye viwanda ,NIC n.k
Unapata fresh tu ufuate taratibu za bodi ya mkopo tuNashukuru braza vp lkn kuusu mkopo nkisoma io kozi naweza pAta
IFMInatolewa chuo gani hii?
Saw bro asanteHiyo course kama maisha hayaeleweki mtaani yaani huna connection na huna uwezo kufungua ofisi yako tatizo,nina Mshikaji wangu kapiga IFM mwaka juzi sasa hivi anauza duka lao home si kwamba vibaya yeye kuuza duka ila ni course ambayo haina hope hata kufanya usaili unaweza ukawa unakusikia kwa wenzio.
Vp lkn inakipaumbele cha mkopoDogo piga kozi hiyo... mimi napiga hiyo ..