comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,688
- 17,955
Jichanganye kamavip kwa marafik wa huyo mazaSana
Jichanganye kamavip kwa marafik wa huyo mazaSana
Unavyonikosha mwili kwa maji ya madafuBaby unamjua Sanchez magoli?
Ndio mtarajiwa wangu siku hizi....nisubiri subiri kidogo nikiachika nakuahidi nitarudi kwako tuendeleze mapenzi yetu
Ukute dogo ana miaka 20
Ni nan mkuu
Basi wa miaka 39 kwake ni jimama
Mwanamke wa miaka 39 anaweza kuwa na mtoto wa kidato cha sita ?
Sitaki kujua ila utambue pamoja na kucare kote lakini anakasoro. Hakuna mtu anayeacha kizuri kama hakina kasoro. Kama waliopita wamesepa inabidi ajiandae kisaikolojia maana majimama mengi yameathirika na UKIMWI. Ni suala la muda tu utakuja na uzi mpya japo umeandika kama kumwakilisha rafiki yako lakini ni wewe unayetoka na jamaa.
KAMA UNABISHA, MWAMBIE HUYO JIMAMA WAKO MKAPIME UKIMWI HALAFU USIKIE MAJIBU YAKE.
Hivi KINGA huwa inatumika kwel? Mana majuto ameshakuwa mjukuu
Naona anatafuta mirathi kwa jimama mwambie asije akaondoka na vingine hataweza kuvibeba soon vitamuangusha
Jichanganye kamavip kwa marafik wa huyo maza
39yrs ni jimama!, How old are you mleta mada???
Unavyonikosha mwili kwa maji ya madafu
Unavyonichua tumbo la ngiri kwa maji ya karafuu
Nikichoka wanikanda na mabarafu
Ntaanzaje anzaje toa taraka kwa mfano, hapa ni mwendo wa kukaba mpaka penati tu.
Not to that extent mkuuMkuu wtt sikuhz wdg tu wako chuo