Current account Bank ya CRDB mnalipaje faida

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Kama kichwa cha habari je nikifungua current account CRDB nikiweka hela kwa faida inakuwa vipi naomba msaada wa rates na niweke kuanzia shillingi ngapi?
Bank zingine ruksa kuchangia kwa upande wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka Pesa kwenye fixed akaunti, hizo Current account hazina faida yoyote. Mwisho wa mwaka utapewa tu 5000 kama interest ya kuweka.
 
Weka Pesa kwenye fixed akaunti, hizo Current account hazina faida yoyote. Mwisho wa mwaka utapewa tu 5000 kama interest ya kuweka.
Sasa kama napata 5000 kuna faida gani kuweka si afadhali nifanye biashara ya genge la nyanya nitapata zaidi.
Kumbe ndio maana kuna usemi unasema bank ni sehemu ambapo masikini wenye hela wasiojua wafanyie nini hela zao huziweka halafu wanakuja matajiri wajanja wasio na hela huja kuzichukua na kuzifanyia kazi wakizalisha wanarudisha faida kidogo wanaendelea kuwa matajiri na masikini wanaendelea kuwa masikini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom