Kuna Jamaa alifukuzwa kazi aka fatilia pesa zake kama 5M, akawa kashafanya research yake afungue biashara yake ya 5M
Mwisho wa siku wamempa 30% anawauliza inakuaje hii wanamjibu kirahisi tu yeye ni bachelor holder hatachelewa kupata kazi, hawa mboga mboga ni zaidi ya mashetani huyu kijana...
Zinaa imenitafuna sana na kuua baadhi ya vipawa vyangu spiritual saizi ata nikipewa nafasi ya kuomba au kuhubiri kanisani nakosa confidence naongea uku natetemeka.
Nashukuru na nazidi kumuomba Mungu azidi kunitoa katika kifungu hiki nilifikia stage ya kulala na wanawake watatu kwa siku ndo...
But Kanisa katoliki haliruhusu ndoa za mitala hii nayo alikaaje?
Kwa upande wa babu yako kwa kuwa hakua akishiriki kwa lolote walikua sahihi kutofika japo uyo katekista alizingua kumsema marehemu bora angekausha tu
Huyo babu yako hakua na pesa au cheo chochote maybe
Mimi babu yangu alikua anasali ila ana wake wawili na wote wanatambulika, siku amefariki walikuja mapadri watatu kuongoza misa
NB
Babu alikua mtoaji mzuri sana kanisani na alikua kiongozi mkubwa serikalini
Natumia i phone X niliyonunua Dubai mwezi mmoja baada ya kuzinduliwa na sina mpango wa kubadilisha nimebadili battery mara mbili
Watu wangu wa karibu huwa wananitania na kunicheka ila sijari
Hi inatokana na imbalance kati ya Good bacteria ( Normal flora) na Bad bacteria, Hivyo kumsababishia mwanamke kutokwa na uchafu (discharge) wenye harufu kali kama ya samaki mara nyingi ni baada ya ngono
Yes mkuu vagina ina normal flora wengi wanao sustain kuishi maeneo hayo bila effect yeyote
Kuwabadilishia mazingira kwa kunyonya ni kujitafutia matatizo tu
Hi shule ni ya kutwa hiyo michango ni makubaliano binafsi ya wazazi na uongozi wa shule kwa wanafunzi wanaotaka kukaa hostel
Kwa kuzingatia gharama za uendeshaji ya hostel, hizo gharama ni sahihi kabisa mkuu
NB
Shule hii ina advance pia inayoendesha kwa mfumo wa bweni na serikali na hakuna...
My love Elly ulibadilisha sana maisha yangu na kunifanya nitulie na wewe tu kipenzi changu
Nilikua kijana mwenye uwezo mkubwa sana katika shule yetu O level ya boys tupu ambapo tulikua tumepakana na tunasali ( Misa za Asubuhi) na shule jirani ya girls tupo yenye watoto wazuri wengi na wakishua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.