Recent content by Babyemma

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

    wacha weeee....AMEOLEWA.?? NI MUAJIRIWA AU KAJIAJIRI
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke afanyiwa kitendo cha kinyama na kisha mumewe kutoweka

    The lady is very cute
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania uchi wa mnyama sasa...

    Jamani..nilikua sijaona bango lenyewe mm nilijua ni yale ya umeme..kumbe hilo la kuandika tena muandiko umepinda..I support this lakini hilo bango nope halivutii kusoma
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    Ukome mwanaume. ..tena safi sana mmezidi kuchezea wadada..sion sababu ya kukupa pole coz maelezo yako yanaonyesha ni tabia yako
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Hayo ndo malipo ya Ridhiwani kusamehewa kunyongwa baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya..lijinga limoja linaponza taifa nzima..I wish nyerere angekuwepo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Mboga 7, Hereni na Kanzu?

    Mbona sioni ajabu ukizingatia hajavaa kanzu ya kuswalia..hilo bi bazee km la wanigeria..kwa raha zake
  7. B

    JamiiForums Tanzania Pharmacy council kazi zenu nI zipi.?

    :thumbup:
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serial killer in Dar!

    Habari wana jf...kuna tetesi nimezisikia kuwa kuna serial killer ambaye ni light skinned hapa dar anatembea na pikipiki...huwa hataki mabishano na dereva yeyote na ikitokea mmebishana yeye hukufyatulia bastora..kuna ujumbe una sambaa kuwa keshaua madereva wawili mmoja magomeni karibu na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Hawa polisi na inteligensia yao wooote ni mambulula...wakisikia issue za chadema kiherehere kufatilia...mbona hatujasikia mkimkamata shehe ilunga..au kwa kuwa baba yenu kikwete alimtuma.?..kwa ulimboka nani alihojiwa au kwa kuwa kikwete aliwatuma...acheni u......nge
  10. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka mbunge CHADEMA kwa kufunga ofisi

    Badala ya kusaka wahalifu...wanambwelambwela na mambo ya siasa..nyambafu zenu policcm
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    Thank you..tutapima coz siwez jua ameniletea nn..isije ikawa anatafuta wa kumuuguza
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    Aliniacha...na nilimtoa akilini mwangu..karudi mwenyewe..halafu si yake as hakuilipia..
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    I thought I losted him forever..thts why I decided to move on with my life..but unfortunately he came back begging me to forgive him..anahisi tungekua mbali sana
  14. B

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Penguine .... don forget Ulimboka
Back
Top Bottom