Recent content by baby zu

  1. baby zu

    JamiiForums Tanzania Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,

    Utakwenda wapi baada ya mauti?
  2. baby zu

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya fake id kuna nafsi zetu

    Mimi huenda mbali nakuwaza hata ktk hii fake Id upuuzi nitakaoandika nani atakuja kuufuta siku nikiondoka. Mimi huwa nahofia hata kulike kitu cha kipuuzi kwamba kwa wakati ule kimenifurahisha japo hakiendani na mafundisho ya imani yangu
  3. baby zu

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    .
  4. baby zu

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    Ukiona una magumu kuna wenye zaidi ya yakwako. Ila kuna watu tulipewa wazazi ambao wakati mwingine unawaza labda ingekua bora kama ungekuwa yatima siku uliyozaliwa kuliko kuwa na wazazi fulani
  5. baby zu

    JamiiForums Tanzania Nani anaikumbuka THE PROMISE?

    Shida ya maombi kuna siku akianza kumtaja mtu mmoja mmoja na matatizo yake maombi lazima yawe marefu na usisahau kipindi hicho taarifa ya habari lazima itizamwe mpka mwisho. Ila ile the promise ilikua tamu sana. Nakumbuka tukiimba pangako sayoooooo
  6. baby zu

    JamiiForums Tanzania Nani anaikumbuka THE PROMISE?

    Tausi ndege wangalu, ndege wangu wa fahari kale ka wimbo
  7. baby zu

    JamiiForums Tanzania Nani anaikumbuka THE PROMISE?

    Isidingo, the promise, the long wait, passion, mutant x daaa kweli tymekuwa wazee. Nakumbuka ikifika saa tatu kasoro tunamwambia bibi tusali mapema ili tuangalie passion saa tatu. Sasa kimbembe maombi yawe ya muda mrefu tunawasha TV huku unapunguza Sauti ukisikia baba yetu uliye mbinguni...
  8. baby zu

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

    Mimi naomba Allah ajalie mwisho wangu uwe ktk ibada niipendayo ya tahajud mida ya saa tisa au kumi before morning ana niwe ktk hali ya total Submission kwake
  9. baby zu

    JamiiForums Tanzania Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    A good husband ni yule atakayetoka na kuleta rizki halali ndani ya nyumba na wajibu wa mke pia kumuimiza alete kile cha halali ndani. Nawaza kama ukiwa kiongozi wa familia unawaza jibu la kumpa mkeo bro jifikirie mara mbili
  10. baby zu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Maisha yamekufundisha nini mpaka umri huo uliofikia?

    Maisha yamenifundisha kumwamini mwenyezi Mungu na hakuna linalishindikana kwake. Ukipata mtihani lia na Mwenyzi Mungu bila kuchoka hakika njia zinafunguka na ukiona hupati mwanga basi jua bado hujamwomba sawa sawa zidisha kumwomba na kua na imani naye kwa ukubwa.
  11. baby zu

    JamiiForums Tanzania Je, kushikamana na Sunnah ni Itikadi kali au ndio njia iliyonyooka?

    Ameen. Ambarika sana lau watu wote wangeshikaman ana Qur’an na sunna hata siku ya malipo ingekuwa nyepesi sana. Allah atuongoze
  12. baby zu

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

    Sijui alipotelea wapi na story zake
  13. baby zu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kupata usingizi mchana

    Nitazijaribu, hii hali inatesa, kuna muda unataka upumzike lakini usingizi unagoma kabisa, unalazimisha kufanya ibada za usiku unamaliza lakini bado vile vile
Back
Top Bottom