dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,701
- 9,861
dah 😅u-bate
dah 😅u-bate
Pole mkuu.Yani hata kwa dawa za usingizi bado napata tabu kulala, sijaelewa bado natatua vipi hii hali
Sasa si itamtengenezea dependence/addiction?Piga nyeto
Kuliko nile biringanya heri hizo route za washroom 😂Uji utaamka kukojoa kama kichaa🤦🏽♀️ Bora u-bate😆
Sikuwa na hii shida awali ila niliumwa mgongo sasa zile dawa za pingili za mgongo sijui ndio zimeniachia hii shida, kwani dawa Zake nyingi nilikuwa nikinywa nakuwa kama teja, nalala muda wote, nahisi baada ya kuzizoea kwenye mwili hii hali ndio imenikuta, tena nikishtuka hvyo nakuwa full of energy sipati usingizi, naweka simu mbali lakini haisaidii, nalazimisha kufunga macho ila badoWatu hamchoki kabisa
Bilinganya kama maini tu😎Kuliko nile biringanya heri hizo route za washroom 😂
Usinambie hulali mpk u bate 😁😁
Mara moja moja sio mbayaSasa si itamtengenezea dependence/addiction?
Nitazijaribu, hii hali inatesa, kuna muda unataka upumzike lakini usingizi unagoma kabisa, unalazimisha kufanya ibada za usiku unamaliza lakini bado vile vileBilinganya kama maini tu😎
Mi sikosi usingizi mkuu😝
ongezi kichwani ni nini?na unapunguzaje?Tengeneza mazingira unayolala kuwe na ubaridi kidogo, oga maji ya baridi kidogo kama unakaa mikoa yenye joto kama yenye baridi ni vizuri uvae soksi, alafu punguza screentime angalau nusu saa kabla ya kulala, punguza taa zenye mwanga mkali,
Au punguza maongezi kichwani mwako au jitahidi usiwe unawaza mambo kabla ya kulala
Overthinking, ukifika kitandani acha kufikiria chochote fumba macho lala..Nitazijaribu, hii hali inatesa, kuna muda unataka upumzike lakini usingizi unagoma kabisa, unalazimisha kufanya ibada za usiku unamaliza lakini bado vile vile
umejaribu kupiga safari kubwa mbili kabla ya kulala?Bora kukosa usingizi mchana ila sio usiku, mimi nasumbuliwa na kukosa usingizi usiku nikillala saa tano nikkishtuka saa sita ni mpaka kesho saa tano tena ndio nitalala, hii hali inanitesa sana, nikilala kosa ni kushtuka
Ni kama mawaza ila yanakuwa kwenye mfumo wa mazungumzoMa
ongezi kichwani ni nini?na unapunguzaje?