Recent content by baby wa kitaa

  1. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania Huu ni ulimbukeni au utoto?

    alitaka nini mweeeee!
  2. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi wa TBC, Florence Dyauli Afariki Dunia

    Apumzike kwa amani
  3. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga Mbeya inahitajika

    Jamani wenyeji wa mbeya msaada tafadhari....
  4. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga Mbeya inahitajika

    Waungwana...ninabadilisha makazi na sasa naelekea pande za Mbeya mjini...nahitaji msaada wa kupata nyumba vyumba viwili,jiko,sitting room toilet private, maji na umeme!isiwe nyumba ya kizamani...bajeti yangu laki moja!
  5. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania I have a baby girl

    Hamjui furaha niliyo nayo mie ndo maana mnasema hivyo...hivi unajua ukibeba mimba mawazo unayokuwa nayo kichwani ni yapi...am the happiest mother niacheni nifurahi Jamani!
  6. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania I have a baby girl

    ha ha ha ha ha jamani baba yake yuko humu humu jamiiforums
  7. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania I have a baby girl

    ilikuwa planned..haikuwa bahati mbaya...asante
  8. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania I have a baby girl

    Mungu ni mwema, nimepata mtoto wa kike masaa mawili yaliyopita. Muombeeni mtoto wetu akue mwenye afya njema. Nimefurahi kuwa mama.
  9. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania Bora uachane na mumeo, he was a terrible husband ila mimi inaniuma kumucha mke wangu, ni mke bora

    Kizanaki Na Kimakuwa Bila Kusahau Na Kinyarwanda Chetu.
  10. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania Nauza laini ya tigo pesa.

    zilishauzika siku nyiiiiiingi wewe ndo unaleta kutokuamini...
  11. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania Halo halooo!

    mmmh!tangaza ndoa basi...nitaeleweka ukinitangazia ndo walah
  12. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawapendi kufundishwa kuendesha gari na waume zao?

    utakuwa una mtia makofi
  13. baby wa kitaa

    JamiiForums Tanzania Halo halooo!

    ina maana wageni ndo hatuna letu humu!!mbona naona kama Katavi ananimezea mate vile au!!!
Back
Top Bottom