baby wa kitaa
Member
- Oct 22, 2013
- 65
- 26
- Thread starter
- #21
acha utani basi!!nipe hela dada yako biashara imenishinda...niachie hiyo hela nikanunue pamba!Laki ntakupa fasta
acha utani basi!!nipe hela dada yako biashara imenishinda...niachie hiyo hela nikanunue pamba!Laki ntakupa fasta
acha utani basi!!nipe hela dada yako biashara imenishinda...niachie hiyo hela nikanunue pamba!
bado sijapata kakangu!nisaidie kama unamfahamu anayezihitaji!ninauza na ya m-pesa pia!Bado hujapata mteja hadi leo dada?
Ya Airtel Money nauza elf 30
bado sijapata kakangu!nisaidie kama unamfahamu anayezihitaji!ninauza na ya m-pesa pia!
Baby wa kitaa biashara imenishinda!kukaa kibandani kusubiri wateja ambao hata sijui watakuja au la imekuwa ngumu!nauza line yangu ya TIGO PESA bei lakin nane tu!changamkieni basi mwenzenu nimechoka na biashara!
bado sijapata kakangu!nisaidie kama unamfahamu anayezihitaji!ninauza na ya m-pesa pia!
Mmh hiyo bei ni Tsh au?
Laki nne
zilishauzika siku nyiiiiiingi wewe ndo unaleta kutokuamini...Mkuu laki nane hutapata mteja, najua utachukia kauli yangu ila huo ndo ukweli
zilishauzika siku nyiiiiiingi wewe ndo unaleta kutokuamini...